Weka mbali na wanawake. Ni mfano tu

Weka mbali na wanawake. Ni mfano tu

Kuna operation za zaidi ya mwaka, mfano hizi pingili za mgongo operation yake kupona sio mchezo
Sasa mtu akifanyiwa hiyo ya uti wa mgongo si ndio kugongana hakuna tena? Sawa na mtu akivunjika kiuno.
 
Inwezekana kuvumilia ndiyo. Lakini kwa moyo na huruma waliyopewa wanawake, anaweza kukuambia, kuna mdogo wangu atakuwa anakuja kusaidia saidia hapa nyumbani, kwa hiyo ni wewe kujiongeza...
 
hahahahaha we acha Tu aisee ilikua balaa warumi Kuna siku alijikot akajichamba weee nilichekajee,nami ikanitokea akaona yewii alicheka wewe nilijutraaaa
Daah kile kipindi nilikuwa sichezi mbali na CF. Ila warumi Ameshindikana, mlinichekesha mlivyokuwa mnasimulia ile mwanzoni mmeingia jf afu matola anawachamba hatari. Eti mnaenda PM mnaambiana "binamu yule matola anachamba hatari, tunamchangia ila wapi" hahhaa
 
Mfano ndo umeoa hao sijui watano sijui kumi afu ukaugua wewe inakuaje hapo?
Watu watasimamiaje kucha Kudadeki
kimaumbile mwanaume sio mstahimilivu km mwanamke kwahy issue ya kusimamia kucha ni juu yake na mwili wake wala hanipi tabu
 
Daah kile kipindi nilikuwa sichezi mbali na CF. Ila warumi Ameshindikana, mlinichekesha mlivyokuwa mnasimulia ile mwanzoni mmeingia jf afu matola anawachamba hatari. Eti mnaenda PM mnaambiana "binamu yule matola anachamba hatari, tunamchangia ila wapi" hahhaa

yaan alikuaga anatufurumusha akikuta tunapiga umbea,anasema hamna kazi kazi kusema watu eti,yaan na maneno yake ya shombo wee warumi alikua anakula ban kila wiki,siku tujitahidi nae tunamuwahi analimwa ban tukiona anatuzidi tunamuita Lusungo wee basi kunawakaje,yaan mim huku sina mbavu,sasa siku tukimuita lusungo atusaidie anatuambia muyamalizee mmenichoshaaa,tunaenda pm warumi anasema heee binam linachamba hilooo lakin tukomae Tu,yaan alitusumbuaa jamani utafikiri ye mmiliki WA jf khaaa
 
Hahaha daah umenikumbusha mbali jamani. Matola alikuwaga anakwambia "wewe dina unapenda umbea ila vitendea kazi huna" uwii. Unakumbuka kuna siku binamu alipigwa ban, eti tukajifanya kugoma tukaja na hashtag #bringbackourwarumi#, basi binamu huko bichwa hilo eti ana nyota kali kuliko ya Wema. Daah siku hizo jamani
 
warumi Hua namkumbuka jamani ,Kuna siku alichambwa weee sie hatulog in jf akalimwa ban,alivyokuja kufunguliwa akatuchamba siwapi ubuyu mbwa nyie yaan nachambwa hamnisaidiii,nilichekaa basi akitokea mtu akamchmba tutamchambajeee ,nae alizidi yaan alikua anachambwa jamani khaaaa mpaka michmbo ya kuchmba watu inaisha ,
basi alivimba kukuta kafunguliwa Uzi WA bring back our warumi yaan huyu warumi huyu
 
Hahaha eti mumsaidie kuchambana bila hivyo haleti umbea teh teh
Siku ile warumi alipata bichwa jamani
 
kwa mfano mkeo anumwa na amefanyiwa operesheni,na hatakiwi kuguswa kwa zaidi ya mwaka,je inawezekana kuvumilia?swali hili ni maalum kwa wanaume tu

Zaidi ya mwaka? Ni operesheni gani hiyo ambayo mtu anapona kwa zaidi ya mwaka?
 
Back
Top Bottom