Weka mbali na wanawake. Ni mfano tu

Weka mbali na wanawake. Ni mfano tu

INAWEZEKANA.KAMA WATU WANAJITUNZA MPAKA MIAKA 30 NDIPO WAOE ,WATASHINDWA MWAKA MMOJA?
Sema kizazi hiki kinaendekeza uzinzi na uasherati sana.MTU akiwa na SELF CONTROL hatashindwa.
 
Demu wangu anajua nisipopiga mwezi tu nakufaaaa sembuse mwaka
 
INAWEZEKANA.KAMA WATU WANAJITUNZA MPAKA MIAKA 30 NDIPO WAOE ,WATASHINDWA MWAKA MMOJA?
Sema kizazi hiki kinaendekeza uzinzi na uasherati sana.MTU akiwa na SELF CONTROL hatashindwa.
Umenena
 
kwa mfano mkeo anumwa na amefanyiwa operesheni,na hatakiwi kuguswa kwa zaidi ya mwaka,je inawezekana kuvumilia?swali hili ni maalum kwa wanaume tu
Operesheni gani ichukue mwaka kupona?
 
Mbona swali rahizi sana hili, inawezekana kuvumilia hata miaka sita, kikubwa upendo uwepo ndani ya nyumba na heshima isishuke maana kuna wadada wasipo gegedwa tu vizuri basi wanashusha vyeo jamaa zao sembuse asiguswe mwaka si ndio kabisa dharauuuu dharaauuuu
 
kwa mfano mkeo anumwa na amefanyiwa operesheni,na hatakiwi kuguswa kwa zaidi ya mwaka,je inawezekana kuvumilia?swali hili ni maalum kwa wanaume tu
Mwaka?? Duh ananirudisha enzi za secondary??? Hapana kwa kweli
 
Kama operesheni ni ya sehemu za siri sawa lakini kama ni sehem nyingine ya mwili mkeo anakuhudumia taraatibu na wewe usimwendee kwa pupa
 
Kwa asiye na hofu ya Mungu hawezi kabisa my sista, hata wajuvi wa mambo hayo wanasema mwanamke akijitahidi sana ni miezi 10 tu, thereafter uvumilivu unamshinda

Hebu tumuulize mfanyakazi wako Heaven Sent atwambie yeye anakaaga muda gani, teh!
Hahaha huyo sijui ni ma mdogo, huku boss, huku ni sista basi shida tupu. My kaka likija suala la kuhimili sex, wanawake na wanaume tunatofautiana sanaaaa. Nimeshajibu swali lako hapo teh
 
Hahaha huyo sijui ni ma mdogo, huku boss, huku ni sista basi shida tupu. My kaka likija suala la kuhimili sex, wanawake na wanaume tunatofautiana sanaaaa. Nimeshajibu swali lako hapo teh
Ngoja basi nikakusome kumbe, ujue huyu boss wako ndo kanikurupua nilikuwa sijasoma uzi wote
 
Hahaha ukanisome wapi tena, mbona unakuwa na tabia kama za dada ako khaa
Daah ujue nimechanganyikiwa sijui, eti nilielewa kuwa umeishajibu somewhere kwenye uzi huu, sa nimeenda kusurvey uzi mzima holaaa!! mmh kumbe ulimaanisha vingine, duuh naona uzee unanizidia sasa
 
Daah ujue nimechanganyikiwa sijui, eti nilielewa kuwa umeishajibu somewhere kwenye uzi huu, sa nimeenda kusurvey uzi mzima holaaa!! mmh kumbe ulimaanisha vingine, duuh naona uzee unanizidia sasa
Hahaha endelea tu kuzeeka
 
Back
Top Bottom