Lazima ujue intonations hapa...la sivyo una ng'ata ulimi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]phonology hataki hatari
FotosinthesisPhotosynthesis
Acha tu. Nishabumiana nayo Mara kibao hiyo. Ilikuwa inanisumbua sana mwenye intonation kuonyesha wapi pana rise na wapi pana fall of voice hatariiiiiiHahaha!
Ninakumbuka shuleni ukikuta wanafunzi wapo discussion ya phonology, unakuta wanakohoa na kutoa sauti za kila aina...Maana lazima utoe mfano.
Kwenye mtihani ni vikohozi khoo! khoo!
Kumbe mtu anatafuta majibu hahaha
As and aas.us...&..ass
mkuu unaifahamu hii, the longest English wordNisaidieni hili neno "pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosis"
Acha tu. Nishabumiana nayo Mara kibao hiyo. Ilikuwa inanisumbua sana mwenye intonation kuonyesha wapi pana rise na wapi pana fall of voice hatariiiiii
Mara nyingi katika maneno ya kizungu yenye voweli a e katika silabi zake huwa kuna sauti ya "ei" kama vile ate=eit, take=teik, voyage=voyeij, made=meid. cake=keik, spade=speid, n.k.Voyej
ila hicho sio kiingerezaVoyej
Origin yake sio la kiingerezaila hicho sio kiingereza
Voyage sio neno la kiingereza mkuuMara nyingi katika maneno ya kizungu yenye voweli a e katika silabi zake huwa kuna sauti ya "ei" kama vile ate=eit, take=teik, voyage=voyeij, made=meid. cake=keik, spade=speid, n.k.
hapo sawa.Origin yake sio la kiingereza
shizophreniaSchizophrenia
French moja hiyohapo sawa.
TiinTeen
Tin
♂️