Weka picha: Uko wapi sasa hivi na unafanya nini?

Weka picha: Uko wapi sasa hivi na unafanya nini?

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Uko wapi na unafanya nini muda huu? Weka picha za uthibitisho

N.B: Usiweke sura lako hapa kwa usalama zaidi
 
Attachments

  • 2022-02-07.jpg
    2022-02-07.jpg
    27.5 KB · Views: 14
Hio picha imepigwa 7-2-2022 leo ni tarehe 8-3-2023 au copy & paste?. Ila nauliza tu inakuwaje unakunywa whiskey na Coca Cola wakati juisi ya Machungwa na nanasi ndio poa kwa Pombe kali.
Hapana mkuu, nimeibadili tarehe kwa makusudi ili jumamosi hii nikitoka safari nisipate maswali mengi kutoka kwa mke nyumbani

Hiyo coca ni kwa ajili ya arosto ya kuchakata mbususu ya huyu binti kisura
 
Hio picha imepigwa 7-2-2022 leo ni tarehe 8-3-2023 au copy & paste?. Ila nauliza tu inakuwaje unakunywa whiskey na Coca Cola wakati juisi ya Machungwa na nanasi ndio poa kwa Pombe kali.
😂😂😂😂
 
Mimi Niko Mwananyamala kwa wahaya, Hali huku sio nzuri watu tunanunua utamu kimachale maana Ni juzi tu meya alisema atazifunga hizi nyumba za utamu. Kwa alivyo na dharau anaziita madanguro.
Bei elekezi leo Ni elfu tatu barabara za TANROADS hizi za TARURA haipungui buku tano. Ila kwa sisi wateja wazoefu pungufu unaongea.
 
Back
Top Bottom