Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Hapo chupi juu ya kamba tena!😁
Aina gani hizi! Nazipata wapi hapa Dar!2 ef 60
Unasali ama upo jfNipo kwenye Nyumba ya ibada namsalia muumba,
Sihitaji kuweka picha ya uthibitisho coz siabudu ili mwanadamu anione.
Acha janja janja wewe.. kwani uki act maisha itakusaidia nini?Hapana mkuu, nimeibadili tarehe kwa makusudi ili jumamosi hii nikitoka safari nisipate maswali mengi kutoka kwa mke nyumbani
Hiyo coca ni kwa ajili ya arosto ya kuchakata mbususu ya huyu binti kisura
Mzee heshima yako!Ila watu Ni watalaamu ,
Mie nipo sebuleni kwangu sijalala nasoma usiniulize nasoma nini
Niagize nkuletee bora zaid ya hzoAina gani hizi! Nazipata wapi hapa Dar!
Kuna urembo gani utangezeka kwenye hizo...Au tofauti ni rangi...Ungenipatia jina la hizo itakua poa sana!Niagize nkuletee bora zaid ya hzo
Mbona nipo hapa hapa ama wewe ndiye uliyepotea ukadhani namie nimepoteaMzee heshima yako!
Ulipotelea wapi?
Amna skuizi hupigi misele humu sana mkuu!Mbona nipo hapa hapa ama wewe ndiye uliyepotea ukadhani namie nimepotea
Hazina jinaKuna urembo gani utangezeka kwenye hizo...Au tofauti ni rangi...Ungenipatia jina la hizo itakua poa sana!
Kidogo nikuulize zinatransparent..Umeniwahi!Hazina jina
Kuna design mpya zimetoka ni nzuri zaidi. Dirisha moja zinakuwa 2 nzito na moja transparent kwa 90000
We usinichoree hakuna cha kutaka pazia wala nnKidogo nikuulize zinatransparent..Umeniwahi!
Dalali mbona mkali umesajiliwa kweli!We usinichoree hakuna cha kutaka pazia wala nn
Kama unataka kweli nipe oder ya nyumba nzima
Hahaha me mchuuzi sio dalaliDalali mbona mkali umesajiliwa kweli!
Sasa sindio nachozungumzia wapi unanunua nisaidie location plz🙂Hahaha me mchuuzi sio dalali
Nikuambia me ntakula wapi?Sasa sindio nachozungumzia wapi unanunua nisaidie location plz🙂
Dah! Kweli mjini hekaheka 😂😂Nikuambia me ntakula wapi?