fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
😁😁😁Wewe ndo umemaliza biashara hata haina haja ya kutia nenoView attachment 2542308
Huoni hata aibu???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁Wewe ndo umemaliza biashara hata haina haja ya kutia nenoView attachment 2542308
Huoni hata aibu???
Nimezipenda hizo naomba nikutafute hivi karibuni😂😂😌Thank uu sweets out
Poa utapata tuuNimezipenda hizo naomba nikutafute hivi karibuni😂😂😌
Naona mjuba tayari kashaua mtaji😂
😁Mkuu kaamua kunipopoa. Muda huu niko na shemeji yenu wa jana usiku. Nataka kuanza kukisukumia cha asubuhiAcha janja janja wewe.. kwani uki act maisha itakusaidia nini?
Huko ku mention V8 sijui na hilo bata unalokula ni wazi hakuna uhalisia.
Nimekutana na watu wengi wa personality kama yako. Nyie watu hambadiliki!
Kwamba unajiandaa kuchakatwaNamtengea shemela wenu nalala
View attachment 2542323
Sio anajiandaa kichakatwa. Amekwisha chakatwa kitaamboKwamba unajiandaa kuchakatwa
Bila shaka Shemeji yetu aliondoka na mpira kwapani coz kwa kiwanja hicho jinsi kilivyo tambarare,kupiga hat-trick ni kama kunusa tu.Sio anajiandaa kichakatwa. Amekwisha chakatwa kitaambo
Jf ina namna ya pekee ya kuwaumbua malimbukeni😀View attachment 2542308
Huoni hata aibu???
😀😂 Kazi iendelee!!
Na Maxence Melo hajaweka option ya kufuta uziJf ina namna ya pekee ya kuwaumbua malimbukeni😀
Picha please.[emoji16]Mkuu kaamua kunipopoa. Muda huu niko na shemeji yenu wa jana usiku. Nataka kuanza kukisukumia cha asubuhi
Ngoja nikae mkao wa kuchukua walau picha za miguu
Ukijamba lazma kinuke tu😀Na Maxence Melo hajaweka option ya kufuta uzi
AmiinHongera mkuu, utuombee na sisi wakosefu
Bro is this heaven??
Morocco is indeed beautiful, brotherBro is this heaven??
Soda nyeusi Coca Cola na PepsiNdo naskia kwako mkuu? Ni coca pekee au ni soda zote?
Mida ya usiku hakuna zaidi ya kusoma Kula tunda kimasihara 🤣Ila watu Ni watalaamu ,
Mie nipo sebuleni kwangu sijalala nasoma usiniulize nasoma nini