Weka picha: Uko wapi sasa hivi na unafanya nini?

Hapana mkuu, nimeibadili tarehe kwa makusudi ili jumamosi hii nikitoka safari nisipate maswali mengi kutoka kwa mke nyumbani

Hiyo coca ni kwa ajili ya arosto ya kuchakata mbususu ya huyu binti kisura
Acha janja janja wewe.. kwani uki act maisha itakusaidia nini?

Huko ku mention V8 sijui na hilo bata unalokula ni wazi hakuna uhalisia.

Nimekutana na watu wengi wa personality kama yako. Nyie watu hambadiliki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…