Weka picha ya kijana anaevutia

Mpaka awe na sura ngumu eeee ndio mwanaume acheni hizooo
Manpenda mabrother men wanaojiremba na kupaka mekup... Hahah safari yenu ni ndefu. Na kwa taarifa hao mnaowapenda ndo maana wanawaliza kila siku maana sio waoaji ila mnawashobokea wenyewe. Mwanaume halisi si kama huyo mliemweka hapo juu... Maadili hayaruhusu ningejiweka mimi utetemeke vizuri
 
Jiweke basi tusisimukeeee
 
mm uwa ninampenda Dinazarde cjui nitafanyeje ili niweze kummiliki... maana c kw Upendo[emoji7][emoji8][emoji8]
Asanteee,nakupenda piaaaa [emoji8][emoji8][emoji8]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…