Weka picha ya kijana anaevutia

Weka picha ya kijana anaevutia

42481df0e3e43debed46e3dffc735c8c.jpg
mm huyu
 
Mimi sijamzungumzia wa huku JF bali nimemzungumzia wa hapa jirani na hapa ninapoishi mkuu!!.....wa huku JF mimi wala simjui!
Na utaendelea kumsikia tu ,hata huyo jirani yako ana kazi kupata jirani anaefatilia mambo ya watu sijui yanakuongezea mshahara halo!!!!
 
Hilo swali ni kwa wanawake.
Siwezi kuleta picha ya mwanaume niseme anafaa....labda nilete picha ya Chocs wangu...kipenzi changu cha moyo.
Heeee tena uzuri wa mtu upo machoni kwa mtu
 
Na utaendelea kumsikia tu ,hata huyo jirani yako ana kazi kupata jirani anaefatilia mambo ya watu sijui yanakuongezea mshahara halo!!!!
Kumbe michepuko siyo watu wa mchezo mchezo!![emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Nilishakuwaga na xmate wangu alikuwa handsome sana. alikuwa hana jeraha ata la kujikwaa. sasa vidada vya skuli vilikuwa vinampenda sana. kwa kuwa mimi nilikuwa rafiki yake namshauri wakijilenga twende tuka t.mb, alafu unanibakishia mi namalizia. cha ajabu alimukula demu wangu. nilipogundua nilienda kwa mshikaji wangu aliyekuwa dereva wa tz-kongo aniazime AK 47 maana alipata kimagenddo baada ya kumpelekea mcongoman maharrage akampa hiyo bunduki. sasa jamaangu aliporudi home akaificha juu ya dari. nikaenda kumuomba rafiki yangu ile AK 47. jamaa akaninyima ikabidi nimchimbe biti naenda kwa kova. sasa jamaangu akabaa ikabidi akaitupe ile bunduki shamba flani ambayo iliokotwaga na askari (kama mlisikiaga bunduki iliokotwa shambani zamani kidogo 2006) .

kama angenipa ile punduki ningemwaga utumbo wa yule baby face. cha ajabu ata sijui yupo wapi mpaka leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom