Weka picha ya kijana anaevutia

Naona umepata fan na wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23].

Lakini kwa vile wewe ndo mimi na mimi ndo wewe basi ma fans wote wa Nyani Ngabu ni ma fans wa Dinazarde [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Unanilambisha likes umeona ile moja haitoshi [emoji8][emoji8]
Ascreenshot awatupie shilawadu wenziee
Halaf ile twisheni ya majibu uliyonipa naona imefanya kazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu na mchepuko wake nawaona[emoji4]
 
Hakuna kubakiza mkuu,natafuna halafu yale matope yanayotoka nakaanga pamoja na mayai nakula kwa mkate na blue band au vipi?,bila kusahau mkojo wake nachanganya na orange juice kupata vitamin C.

mmmmm umeenda mbali asee sio kiivo rinda skuiz wanalikaterero tu / SUNA sio mpaka umharibu mwenzako
 
Nami nakupenda sana, tena kupita maelezo Mke wangu ukhuty.

Nikisema nielezee jinsi ninavyokupenda, hapa patakuwa hapatoshi.

Ahsante sana, na mimefurahi sana, kuonesha kuwa unanijali.

Wako Mumeo wa milele.

HARUFU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…