Weka picha ya kijana anaevutia

Weka picha ya kijana anaevutia

We ni kati ya wale wanne mmoja wao lazima awe kichaa
Asubuhi yote hii hata hakujakucha vizuri jamani tayari umeshaamka na mimi!!......kumfanya mtoto wa mwenzio hivyo siyo vizuri jamani!![emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Hahahaha aiseee kumbe wanawake nanyie mnahamasisha ushoga mwanaume kavaa hereni unampongeza eti kapendeza....!!!? Hahaha daaah kiboko
 
Hahahaha aiseee kumbe wanawake nanyie mnahamasisha ushoga mwanaume kavaa hereni unampongeza eti kapendeza....!!!? Hahaha daaah kiboko
Aliekuambia kila anaevaa hereni ni shoga nani?kwa hiyo wamasai ni mashoga?
 
Hahahaha aiseee kumbe wanawake nanyie mnahamasisha ushoga mwanaume kavaa hereni unampongeza eti kapendeza....!!!? Hahaha daaah kiboko
dah yani me mwenyewe nimeshangaa jitu lilembua macho. linaonekana kabisa bwabwa, eti mtu anamsifu.
 
936f8c1081ab878bd17ea600ae143cb0.jpg
 
Mwanangu au mdogo WANGU akimleta mwanaume wa hivi nyumbani namtwanga risasi
 
Nami nakupenda sana, tena kupita maelezo Mke wangu ukhuty.

Nikisema nielezee jinsi ninavyokupenda, hapa patakuwa hapatoshi.

Ahsante sana, na mimefurahi sana, kuonesha kuwa unanijali.

Wako Mumeo wa milele.

HARUFU
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Ha haa we jimilikishe tu mama. Mradi uwahudumie vizuri tu wasijenikumbuka na kurudi nyuma
Wanaume kawaida yao hiyo ,mwanamke mzuri kwa mwanaume ni mama yake,ni zamu yangu kula na kusepa sina hatimiliki nao [emoji23]
 
Wanaume kawaida yao hiyo ,mwanamke mzuri kwa mwanaume ni mama yake,ni zamu yangu kula na kusepa sina hatimiliki nao [emoji23]
Basi hakikisha umekula na kushiba vizuri. Wakupe vyote bila kukubania ili badae urudi tena lol
 
Back
Top Bottom