Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Proffession: ICT TECHNICIAN
Experience : 6months
Education: NVA III
Location: DAR ES SALAAM
 

Profession: IoT and Electronics
Experience : fresh graduate
Education level: Bachelor degree
Location: dodoma
 
My profile

Proffession: Electrical Installation
Experience : 8 years
Education: Vocational Training College
Location: Sumbawanga, Rukwa.
 
Kijana ambaye amesomea ufugaji anicheki.kuna Brother anahitaji.
 
Seriously, hii inasikitisha sana. Kwamba kuna watu, tena waliosoma na bado wanaamini kuna mtu atawaajiri humu. Kama ulikosa kazi mtaani basi tambua kupata kazi humu ni kama kutafuta sindano specific kwenye kopo kubwa la sindano, hutoipata. Common sense.
 
Ng'ombe nyie πŸ’©πŸ’© naona wengi mmesoma course zinatamkika vzuri midomoni mwenu ila hazina future ni useless Hopeless πŸ’©πŸ’© mlipo ambiwa chagueni kozi zitakazo wasaidia kimaisha kujiajiri au kuajiriwa kirahis nyie mkakimbilia kusoma kozi za kibishoo ili muonekane wajuaji πŸ’©πŸ˜‚ oya mtaani kugumu
 
Una shida kichwani wahi Mirembe ukapate tiba.
 
Sie bodaboda tunaruhusiwa weka profile zetu tupate wateja?
 
Wahi Mirembe sometimes wodi huwa zinajaa.

Usikalili maisha sio kila anaingia hili jukwaa ni jobless.
πŸ’©πŸ’© Jobless wew junior nenda kwa housegirl wenu akupikie mayai ukalale na dada yako
 
STATUS: Job seeker (ndani na nje ya field)
PROFESIONAL : Teacher (Biology &Geography)
EXPERIENCE: Teacher, loan officer
EDUCATION: Bachelor of science with education
OTHER SKILLS:Ususi
LOCATION: Songea (ready to relocate)
Upo songea bado
 
Status: self employee
Position: Driver
Experience: 5 years
Profesional: Accounting and finance
Location: Moshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…