Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa kike tunaweza kumu accommodate full timeKwann wa kike tuuuhh
Ila nitumie CV Yako I will try to do somethingKwann wa kike tuuuhh
Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada
Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.
Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo
Mfano
Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.
Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.
Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane
twende kazi.
NB: Tafadhali usiweke namba ya simu wala
Una shida kichwani wahi Mirembe ukapate tiba.Ng'ombe nyie 💩💩 naona wengi mmesoma course zinatamkika vzuri midomoni mwenu ila hazina future ni useless Hopeless 💩💩 mlipo ambiwa chagueni kozi zitakazo wasaidia kimaisha kujiajiri au kuajiriwa kirahis nyie mkakimbilia kusoma kozi za kibishoo ili muonekane wajuaji 💩😂 oya mtaani kugumu
Bora umejua kichwa changu kina shida nipe tgo basi kipone Mr joblessUna shida kichwani wahi Mirembe ukapate tiba.
Wahi Mirembe sometimes wodi huwa zinajaa.Bora umejua kichwa changu kina shida nipe tgo basi kipone Mr jobless
💩💩 Jobless wew junior nenda kwa housegirl wenu akupikie mayai ukalale na dada yakoWahi Mirembe sometimes wodi huwa zinajaa.
Usikalili maisha sio kila anaingia hili jukwaa ni jobless.
AseeMkuu hapa umekiuka utaratibu
Upo songea badoSTATUS: Job seeker (ndani na nje ya field)
PROFESIONAL : Teacher (Biology &Geography)
EXPERIENCE: Teacher, loan officer
EDUCATION: Bachelor of science with education
OTHER SKILLS:Ususi
LOCATION: Songea (ready to relocate)
wahi kuna Kimbinyiko na Shabiby za mchana nenda makao makuu kapate tiba jombaa💩💩 Jobless wew junior nenda kwa housegirl wenu akupikie mayai ukalale na dada yako