Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Proffession: ICT TECHNICIAN
Experience : 6months
Education: NVA III
Location: DAR ES SALAAM
 
Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada

Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.

Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo

Mfano

Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.

Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.


Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane

twende kazi.

NB: Tafadhali usiweke namba ya simu wala

Profession: IoT and Electronics
Experience : fresh graduate
Education level: Bachelor degree
Location: dodoma
 
My profile

Proffession: Electrical Installation
Experience : 8 years
Education: Vocational Training College
Location: Sumbawanga, Rukwa.
 
Seriously, hii inasikitisha sana. Kwamba kuna watu, tena waliosoma na bado wanaamini kuna mtu atawaajiri humu. Kama ulikosa kazi mtaani basi tambua kupata kazi humu ni kama kutafuta sindano specific kwenye kopo kubwa la sindano, hutoipata. Common sense.
 
Ng'ombe nyie 💩💩 naona wengi mmesoma course zinatamkika vzuri midomoni mwenu ila hazina future ni useless Hopeless 💩💩 mlipo ambiwa chagueni kozi zitakazo wasaidia kimaisha kujiajiri au kuajiriwa kirahis nyie mkakimbilia kusoma kozi za kibishoo ili muonekane wajuaji 💩😂 oya mtaani kugumu
 
Ng'ombe nyie 💩💩 naona wengi mmesoma course zinatamkika vzuri midomoni mwenu ila hazina future ni useless Hopeless 💩💩 mlipo ambiwa chagueni kozi zitakazo wasaidia kimaisha kujiajiri au kuajiriwa kirahis nyie mkakimbilia kusoma kozi za kibishoo ili muonekane wajuaji 💩😂 oya mtaani kugumu
Una shida kichwani wahi Mirembe ukapate tiba.
 
Sie bodaboda tunaruhusiwa weka profile zetu tupate wateja?
 
STATUS: Job seeker (ndani na nje ya field)
PROFESIONAL : Teacher (Biology &Geography)
EXPERIENCE: Teacher, loan officer
EDUCATION: Bachelor of science with education
OTHER SKILLS:Ususi
LOCATION: Songea (ready to relocate)
Upo songea bado
 
Status: self employee
Position: Driver
Experience: 5 years
Profesional: Accounting and finance
Location: Moshi
 
Back
Top Bottom