Weka siasa pembeni, tafakari "credibility" ya Mamlaka za Serikali katika sakata la CHADEMA

Yani watu waliofoji uchaguzi ndio washindwe kufoji mihuri na signature kweli?

Ok, inawezekana ni kweli walipokea form na mihuri iliyokuwa forged, Sawa!. Anachotaka KM Mnyika ni waandishi wa habari wafuatilie kwa Kaijage (Mwenyekiti NEC), au kwa Mahera (Mkurugenzi wa NEC) waseme ni nani alipeleka hiyo orodha ya majina, basi.

Na zile form za uteuzi tuone zilisainiwa na nani pale Chamani, na vile vile zile form za viapo ziliidhinishwa na nani ili mchezo uishe na ijulikane kama Mnyika anaongea pumba au Mdee na watu wake wanaongea pumba, na kwamba mchezo mzima wanaufahamu. Na baada ya hapo maisha yaendelee.

Ila ninachojua hata ikijulikana kwamba nyaraka zote ni batili, hawatatolewa Bungeni. Hii picha ina baraka zote toka juu.

Niwatakie siku njema, tukutane trh 27/11/2020, pale makao makuu ya Chadema, mnapaita Ufipa. Kinondoni.
 
Hakuna mtu kaghushi nyaraka, zote zimepata baraka za chama na uongozi mchezo utaisha 27/11/2020.Hivi Halima Mdee and co mnawaona ni viazi ati!!!!!
 

Mnatia sana huruma


mbowe kateua katibu mkuu mpya au naibu katibu mkuu kasawazisha, bila mnyika kujua

Kafuata taratibu zote wabunge wale pale

Mnyika, Lissu automatically wako against Mbowe kwenye hili


Mkiambiwa chama kina wenyewe uelewe
 
Hebu tuwekee uthibitisho hapa
 
Mnatia sana huruma


mbowe kateua katibu mkuu mpya au naibu katibu mkuu kasawazisha, bila mnyika kujua

Kafuata taratibu zote wabunge wale pale

Mnyika, Lissu automatically wako against Mbowe kwenye hili


Mkiambiwa chama kina wenyewe uelewe
acha ikadhibitike hivyo. tuwe na subira
 
Endelea tu kuokoteza! Siasa inahusu umiliki wa madaraka! Kama chama kilichojinadi kinaweza kushika mamlaka kinakamatwa, kinawekwa mkononi na chama kingine chenye mamlaka, kuna nini hapo? Hakuna cha credibility ya serikali wala nini, hapo ni kuwa chama kingine kinajua, kipo vizuri, kimeshinda kila nyanja, kwenye kura, kwenye propaganda na kwenye usambaratishaji kama mbinu mojawapo ya kisiasa. Vyovyote CDM itavyofanya itakuwa inajitafuna. Tena bora wangeenda na low profile na wakae kimya Kwani kila neno Sasa litatumika dhidi yao tena kwa wao kwa wao!
 
haaa haaa naona ID nyingi zimeundwa kutisha watu. Itakuwa ndio wale wabunge
Wewe keyboard warrior, wenzako wapo front; uwezi kujua uchungu wa kunyimwa sauti kama wao.

Ata siku za maandamano upo JF una type unaogopa virungu, wakati wao ndio wanaokutana na misuko suko ya kwenda polisi na kulala magerezani.

It’s only easy when you don’t have to do it. Hakuna mwana JF au mwanaharakati huko Twitter mwenye kuelewa pain walizopitia hakina Mdee.

Watu wakuamua kwenda bungeni au wasiende ni wao Bulaya, Matiko, Mdee et al maana ndio wanaoucheza huo mziki, sio cowards kama nyie.
 
19 wanasema wametumwa na chama,
1 anasema hajawatuma,
1 (Mbowe) sijui kajichimbia wapi

Tusibiri Halima Mdee naye ahitishe mkutano wake na waandishi wa habari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hii tamthilia kali kinoma... [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nyie hamjui chochote kinachoendelea huko chadema!

Kama unabisha subiri uone kama kuna lolote watafanya
 
kingine Ndugai anasema Tume ya Uchaguzi ilimpelekea fomu za wanaopendekezwa Viti Maalum Nov 20. Kwenye fomu ni lazima muombaji ale kiapo kwa hakimu Hanje Nusrat alikula kiapo kwa hakimu gani wakati Novemba 20 alikuwa gerezani
 
Hii ni ya aina yake.Yaani chadema inasema haikukaa kikao,halafu hao wanaojiita wabunge wa viti maalum wanasema wana baraka zote za chama.Hapa bila shaka mchezo mchafu umefanyika!
 
Hongereni Chadema kwa kuwaruhusu hawa wakina Mama,ni ushujaa mkubwa na mtakumbukwa na Taifa hili.
 
Mshapata njia ya kujifariji [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nyie jamaa ni vituko
 
NEC haina credibility kabisa, baada ya kufoji kura za urais sasa wanafoji barua za vyama.
 
Hata mbunye wameliwa sana mwenyekiti wao! Wanajitoa ufahamu
 
Kila siku nakukanya kuacha mihemko na kukurupuka. Subiri uone mwisho wake. Tema mate chini, hii ni siasa si mpira wa Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…