Weka siasa pembeni, tafakari "credibility" ya Mamlaka za Serikali katika sakata la CHADEMA

Weupe ndo hao akina Trump wanaodai wameibiwa kura au kuna wengine? Maana hata mchina ni mweupe, mrusi ni mweupe! Tafuta riziki ikisaidie wewe na familia yako
Sytem ishamkataa trump,soon air force one haitomtambua,ofisi ya raisi haitomtambua, vyombo vya ulinzi havitomtambua, secretary yake haitomtambua.Atafanya kazi na nani sasa.
 
Mkisusa sisi twara nyang'au wakubwa nyie
Ukweli mmekwama,vijambio vyenu havisafishiki
Subiri kauli ya kamati kuu,ili muwatete kama mlivyofanya kwa silinde na lijua likali
Hapo mtakuwa mmejipaka siyo tope bali mavi usoni.
 
OKW BOBAN SUNZU,

Acha vitisho huelewi chochote kwenye siasa na huna uwezo wowote wa kushawishi kisheria kutengua

Nilitaraji utamsema vibaya mwenyekiti wa chama maana ndiye aliyetajwa kubariki wabunge hao kwenda bungeni lakini unarukaruka tu eti ni usaliti, saini ya nani ipo kwenye nyaraka, mara NEC, DPP wamekula njama, you are just barking like local dog which when intimadated by the master he draws the tail under the belly.

Sasa kama DPP hahusiki yule mahabusu alitolewaje usiku badala ya kusubiria siku ya kwenda mahakamani kama utaratibu unavotaka na a kaenda kuapishwa hivi form Na. 8D ya kuteuliwa kwake kiapo chake aliapa lini mbele ya hakimu na alikuwa mahabusu. Hii ni aibu sana kwa vyombo vyetu vya dola. Hili taifa linaangamizwa na hivyo vyombo vilivyopewa dhamana ya kutenda haki lakini havitendi haki ni fedhaha siyo tu aibu.
 
Mnyika anasema...

Uhakika nilio nao, hao 19 walioenda kuapa, walishirikiana na ofisi za NEC, pamoja na Bunge kughushi nyaraka za chama, kujiteua bila kikao na kujipeleka kwenda kuapa. Huu ni USALITI mkubwa. Wote 19 wanafahamu orodha haiwezi kwenda NEC bila kupitishwa na Kamati Kuu ikiwa na saini ya Katibu Mkuu na mihuri ya chama. Na mimi sijasaini wala Manaibu wangu. Sasa NEC watueleze hiyo orodha waliyopewa ina saini ya nani?

Kughushi ni jinai. Na ni jambo la aibu kama Ofisi ya Bunge na Tume ya Uchaguzi wanaweza kushirikiana na watu wachache ndani ya chama kufanya jinai ya kughushi kwa maslahi yao wenyewe. Naomba wanachama wa CHADEMA, mtoe maoni yenu ni hatua gani zichukuliwe dhidi ya akina Halima Mdee na wenzake. Maoni hayo yawasilishwe kabla ya kikao cha kamati kuu Novemba 27.

Ieleweke hawa sio wabunge wa CHADEMA. Ni wanachama wa CHADEMA walioamua kutumia mwavuli wa Chama kunajisi heshima zao na heshima ya chama chao. CHADEMA hatuwatambui. Ni wabunge wa Viti Maalum kwa matakwa ya CCM, ni Wabunge wa NEC na ni Wabunge wa Spika Ndugai. Kwa ujumla CCM imeamua kujiundia kambi yake ya upinzani Bungeni ili kuokoa Trilioni 2 za wafadhili zisipotee."

Moja ya mambo ya msingi katika nchi huru kujenga taasisi imara ambazo hazitegemei mtu bali mifumo imara itakayofanya taasisi isimame hata asipokuwepo fulani.

NEC, DPP, Bunge n.k wanahusishwa katika jinai. Tafakari kama Tanzania ina taasisi na mifumo au kitu gani?
CHADEMA wa kiume mbona mnakwenda kinyume na mkutano wa wawanawake uliofanyika Beijing. Hamwoni kama mna wa undermine wanawake badala ya kuwa empower.
 
Kama serikali inaghushi huku mtaani itakuwaje? tutegemee muendelezo wa kughushi, ikiwa ni moja ya nyenzo ya kujinasua kwenye matatizo
Absolutely-hz ndo long term consequences,nchi nyingine zikielewa pengine kilichofanyika kitaharibu credibility hasa kwenye mikataba
 
Inaumiza sana mkuu,Taifa hili kesho yake haionekani.Taiga lolote halilindwi na MTU mmoja hulindwa na RAIA wote kwa kuweka mizani sawa ya haki.tunajenga viongizi dharimu wa kesho
Serikali inazalisha na kufundisha "WANASIASA NA RAIA" kuwa sio wazalendo. Taifa letu la kesho halitakua na viongozi wazalendo.

Serikali inavyotengeneza sinema za kununua (Kwa rushwa) wapinzani na kwa vitisho, inafundisha na kutuaminisha kwamba siasa ni "KUJALI TUMBO LAKO" pia "VITA DHIDI YA RUSHWA HAIWEZEKANI".

Vyombo vya dola (hasa vya usalama) vime lawitiwa na viongozi wachache baada ya kujitoa kwenye mfumo wa "VYOMBO VYA USALAMA" na kua "VYOMBO VYA SIASA", credibility imekufa, division of power/delegated legislation hakuna, havina hadhi tena kama vyombo vya usalama, na hakuna raia anaeviamini kwasasa hivi.

Imefikia hatua raia wanashindwa kutofautisha kati ya "KUWA ASKARI POLISI NA VIBARAKA WA CCM", raia wanaona askari ni kibaraka na sio mtu wa kumwamini. Kwasababu jeshi la polisi limekubali kutumika kisiasa.

NB tumeshudia OCD wakiimba mapambio ya CCM. Na hakuna hatua za kinidhamu walichukuliwa.

Hii, tunajenga "UADUI WA NDANI YA TAIFA", na hakuna vita mbaya kama kujenga uadui wa ndani (Katika familia, ni rahisi kupambana na adui wa nje ya familia, kuliko kupigana na adui wa ndani ya familia).

Uadui wa ndani ya taifa ni njia rahisi ya kuruhusu maadui wa nje ya taifa.

Serikali isilalamike kama inavyopenda kulalamika "KUNA BAADHI YA WATU SIO WAZALENDO WA NCHI YETU". Yenyewe ndio inazalisha hao watu, yenyewe ndio inaharibu uzalendo kwa raia, yenyewe ndio inajenga chuki na kuvunja uaminifu kwa raia.

Yaliofanyika jana ni kashfa kubwa kitaifa na duniani. TISS, POLISI, TAKUKURU wanatakiwa watoe "MAJIBU YA KURIDHISHA KWA WANANCHI NA DUNIA". Kukaa kimya, raia na dunia tutaamini wamehusika katika "UVUNJIFU WA SHERIA NA KATIBA YA NCHI".

CHA KUJIULIZA:

Uchafu huu wote pamoja na kuliangamiza taifa, unafanyika kwasababu gani?

Jibu, kwaajili ya viongozi wachache wa CCM (Wasiojali wala kuogopa amani ya nchi kuvunjika, raia kufa, taifa kuangamia) wenye tamaa ya kushika madaraka kwa miaka 5 ijayo.
 
Unawekaje siasa pembeni kujadili Jambo la kisiasa 😂😂😂
Hii gemu ni three dimensional,,
1. Mfumo
2. NEC
3. CDM
 
Mnyika anasema...

Uhakika nilio nao, hao 19 walioenda kuapa, walishirikiana na ofisi za NEC, pamoja na Bunge kughushi nyaraka za chama, kujiteua bila kikao na kujipeleka kwenda kuapa. Huu ni USALITI mkubwa. Wote 19 wanafahamu orodha haiwezi kwenda NEC bila kupitishwa na Kamati Kuu ikiwa na saini ya Katibu Mkuu na mihuri ya chama. Na mimi sijasaini wala Manaibu wangu. Sasa NEC watueleze hiyo orodha waliyopewa ina saini ya nani?

Kughushi ni jinai. Na ni jambo la aibu kama Ofisi ya Bunge na Tume ya Uchaguzi wanaweza kushirikiana na watu wachache ndani ya chama kufanya jinai ya kughushi kwa maslahi yao wenyewe. Naomba wanachama wa CHADEMA, mtoe maoni yenu ni hatua gani zichukuliwe dhidi ya akina Halima Mdee na wenzake. Maoni hayo yawasilishwe kabla ya kikao cha kamati kuu Novemba 27.

Ieleweke hawa sio wabunge wa CHADEMA. Ni wanachama wa CHADEMA walioamua kutumia mwavuli wa Chama kunajisi heshima zao na heshima ya chama chao. CHADEMA hatuwatambui. Ni wabunge wa Viti Maalum kwa matakwa ya CCM, ni Wabunge wa NEC na ni Wabunge wa Spika Ndugai. Kwa ujumla CCM imeamua kujiundia kambi yake ya upinzani Bungeni ili kuokoa Trilioni 2 za wafadhili zisipotee."

Moja ya mambo ya msingi katika nchi huru kujenga taasisi imara ambazo hazitegemei mtu bali mifumo imara itakayofanya taasisi isimame hata asipokuwepo fulani.

NEC, DPP, Bunge n.k wanahusishwa katika jinai. Tafakari kama Tanzania ina taasisi na mifumo au kitu gani?

Hio ni kweli tupu na wala huhitajiki kuwa PHD kugundua. Ushahidi tosha ni kitendo cha wafuasi wa Chadema kutolewa jela usiku usiku wakati kipindi chote walichokaa ndani Jaji alikuwa anatumia "delaying tactics" kuwapa dhamana, mara Jaji kapata dharura, mara yuko kwenye sherehe za kuapishwa kuapishwa Raisi, mara kafiwa!

Jana ghafla wanaachiwa na mmoja anaenda Spa ili akakarabatiwe kesho yake awahi kuapishwa ubunge wa viti maalumu, kwa upendo gani ofisi ya DPP inao mpaka wapewe upendeleo kama huo!

Kwenye nchi kama Tanzania ambayo serikali imegoma katakata kuwapa ajira vijana wake wanaohitimu kutoka vyuoni; kama hawa mabinti wangeikataa hii fursa ya uhakika wa mishahara na posho kwa miaka mitano na kiinua mgongo ningewashangaa sana.

Ila narudia wito wangu kwao wasijihangaishe kuwatetea Watanzania. Watanzania wameshazoea maisha ya kuishi utumwani. Ila mwisho kabisa wanufaika wakuu kwenye huu mchezo uliochezwa na DEEP STATE ni genge la ELITES wa CCM!
 
OKW BOBAN SUNZU,

Acha vitisho huelewi chochote kwenye siasa na huna uwezo wowote wa kushawishi kisheria kutengua

Nilitaraji utamsema vibaya mwenyekiti wa chama maana ndiye aliyetajwa kubariki wabunge hao kwenda bungeni lakini unarukaruka tu eti ni usaliti, saini ya nani ipo kwenye nyaraka, mara NEC, DPP wamekula njama, you are just barking like local dog which when intimadated by the master he draws the tail under the belly.
Ni wakati wananchi wa tanganyika waelewe kuwa hii nchi si ya kupiganiwa na chama fulani, bali watu wote. Hata kama huendi vitani, watie moyo waliopo vitani, sio unawaacha unaenda kula bata unategemea wafie huko kwa ajili yako. Wananchi mjifunze. Chama hakiwapiganii msipojipigania wenyewe

Acheni upumbavu bwana.
 
Mnyika anasema...

Uhakika nilio nao, hao 19 walioenda kuapa, walishirikiana na ofisi za NEC, pamoja na Bunge kughushi nyaraka za chama, kujiteua bila kikao na kujipeleka kwenda kuapa. Huu ni USALITI mkubwa. Wote 19 wanafahamu orodha haiwezi kwenda NEC bila kupitishwa na Kamati Kuu ikiwa na saini ya Katibu Mkuu na mihuri ya chama. Na mimi sijasaini wala Manaibu wangu. Sasa NEC watueleze hiyo orodha waliyopewa ina saini ya nani?

Kughushi ni jinai. Na ni jambo la aibu kama Ofisi ya Bunge na Tume ya Uchaguzi wanaweza kushirikiana na watu wachache ndani ya chama kufanya jinai ya kughushi kwa maslahi yao wenyewe. Naomba wanachama wa CHADEMA, mtoe maoni yenu ni hatua gani zichukuliwe dhidi ya akina Halima Mdee na wenzake. Maoni hayo yawasilishwe kabla ya kikao cha kamati kuu Novemba 27.

Ieleweke hawa sio wabunge wa CHADEMA. Ni wanachama wa CHADEMA walioamua kutumia mwavuli wa Chama kunajisi heshima zao na heshima ya chama chao. CHADEMA hatuwatambui. Ni wabunge wa Viti Maalum kwa matakwa ya CCM, ni Wabunge wa NEC na ni Wabunge wa Spika Ndugai. Kwa ujumla CCM imeamua kujiundia kambi yake ya upinzani Bungeni ili kuokoa Trilioni 2 za wafadhili zisipotee."

Moja ya mambo ya msingi katika nchi huru kujenga taasisi imara ambazo hazitegemei mtu bali mifumo imara itakayofanya taasisi isimame hata asipokuwepo fulani.

NEC, DPP, Bunge n.k wanahusishwa katika jinai. Tafakari kama Tanzania ina taasisi na mifumo au kitu gani?
Haya ndio mambo yalitakiwa yabebe uzito mkubwa katika mijadala kuhusiana na sakata hili. Kwa nchi za wanaofikiri sawa sawa, mgogoro mkubwa ungeibuka hapa! Kwa maelezo ya Mnyika ina maana hawa akina Mdee, Bulaya na wenzao wameshiriki kughushi na udanganyifu mwingi, na zinahusishwa taasisi nyeti za serikali. Kwamba tunaona viongozi wakubwa wa serikali wakipiga kelele kukemea mambo ya kughushi, wakati huo huo wao wenyewe wanatumia taasisi za serikali kughushi watu waingie katika chombo cha kutunga sheria. Hii ni kashfa kubwa sana!
 
Imekuaje raia wa TANZANIAA wanaishi kama wageni kwenye Taifa Lao? Maana hawajali lolote wala chochote kuhusu serikali na mambo yanayofanyika ndani ya serikali, ili mradi maisha Yao yanasonga mbele kwa kupata ubwabwa na mboga wanaona ni Sawa tu.

Ukimya wao unaweza Sema Wana Taifa lingine tofauti na hili, Kwamba hapa wamekuja kutafuta tu na hawana haja ya Kutengeneza mazingira kwa ajili ya kizazi kijacho.

Tume fika pahala raia wa Tanzania bila aibu anasema yeye siasa haimuhusu kwasababu sio mwana siasa! Anyway hapo utasema labda walinyimwa elimu ndio maana wanatoa kauli kama hizo.

Tuzidi kuwaombea hawa raia.
 
OKW BOBAN SUNZU,

Acha vitisho huelewi chochote kwenye siasa na huna uwezo wowote wa kushawishi kisheria kutengua

Nilitaraji utamsema vibaya mwenyekiti wa chama maana ndiye aliyetajwa kubariki wabunge hao kwenda bungeni lakini unarukaruka tu eti ni usaliti, saini ya nani ipo kwenye nyaraka, mara NEC, DPP wamekula njama, you are just barking like local dog which when intimadated by the master he draws the tail under the belly.
Na Jumapili hakosi kanisani akisema mniombee. Utafiriki ni mtu mwema kweli kweli. Ama kweli kua uyaone. Hivi anajua kuwa huu ujinga wa kughushi anaoagiza kufanyika unafanya viongozi aliowateua wamdharau kwa kificho na kufanya kila aina ya uchafu ili tu wajinufaishe? Muhula huu ndiyo utakuwa na viongozi wanaoongoza kw kijinufaisha. Ona anavojua ku-act. Usanii mtupu.
1606333631152.png
 
Labda uniambie nisubiri serikali ijibu (majibu yasiyo na mashaka na ushaidi) Kuhusu Mbowe kutajwa sio hoja kwani hata wewe hapo ulipo unaweza kumtaja bila madhara yeyote. Niamini vipi wakati katibu wake ametamka kwamba hausiki na ameitisha kikao kuwajadili waliomtaja?
Tujadili kwa hoja mkuu
Based on this comment, then its clear to me there is no credibility in the entire institutional framework of CHADEMA. How come mnakuwa na watu mpaka wanafikia kwenda kuapa hamjui na hata kama mlijua wala hamkuja kuisemea kwa umma!?

Would you love and agree for such a disorganized institution to be in charge of your existence!?
 
Mnyika anasema...

Uhakika nilio nao, hao 19 walioenda kuapa, walishirikiana na ofisi za NEC, pamoja na Bunge kughushi nyaraka za chama, kujiteua bila kikao na kujipeleka kwenda kuapa. Huu ni USALITI mkubwa. Wote 19 wanafahamu orodha haiwezi kwenda NEC bila kupitishwa na Kamati Kuu ikiwa na saini ya Katibu Mkuu na mihuri ya chama. Na mimi sijasaini wala Manaibu wangu. Sasa NEC watueleze hiyo orodha waliyopewa ina saini ya nani?

Kughushi ni jinai. Na ni jambo la aibu kama Ofisi ya Bunge na Tume ya Uchaguzi wanaweza kushirikiana na watu wachache ndani ya chama kufanya jinai ya kughushi kwa maslahi yao wenyewe. Naomba wanachama wa CHADEMA, mtoe maoni yenu ni hatua gani zichukuliwe dhidi ya akina Halima Mdee na wenzake. Maoni hayo yawasilishwe kabla ya kikao cha kamati kuu Novemba 27.

Ieleweke hawa sio wabunge wa CHADEMA. Ni wanachama wa CHADEMA walioamua kutumia mwavuli wa Chama kunajisi heshima zao na heshima ya chama chao. CHADEMA hatuwatambui. Ni wabunge wa Viti Maalum kwa matakwa ya CCM, ni Wabunge wa NEC na ni Wabunge wa Spika Ndugai. Kwa ujumla CCM imeamua kujiundia kambi yake ya upinzani Bungeni ili kuokoa Trilioni 2 za wafadhili zisipotee."

Moja ya mambo ya msingi katika nchi huru kujenga taasisi imara ambazo hazitegemei mtu bali mifumo imara itakayofanya taasisi isimame hata asipokuwepo fulani.

NEC, DPP, Bunge n.k wanahusishwa katika jinai. Tafakari kama Tanzania ina taasisi na mifumo au kitu gani?
Chadema huwa mnapenda sana kutoa majbu mepesi,jitafakarini
 
Back
Top Bottom