Sawa, ila nchi ni muhimu zaidi. Chadema na CCM zitapitaHapana tuanze na integrity na credibility ya CHADEMA.
Ndio maana nyumba zinawekwa milango na madirisha. Mlango ukigoma tunapita kwenye dirisha.Mnatia sana huruma
mbowe kateua katibu mkuu mpya au naibu katibu mkuu kasawazisha, bila mnyika kujua
Kafuata taratibu zote wabunge wale pale
Mnyika, Lissu automatically wako against Mbowe kwenye hili
Mkiambiwa chama kina wenyewe uelewe
unachangia mada gani mkuu. hapa tunajadili credibility ya mamlaka zetuMkuu Pole kwanza kwa majanga. Lakini pili nikupe Pole kwa siku Zote kukimbia matatizo ya nyumbani kwako na kufikiria majirani ndo sababu. Haiwezekani kabisa. So futa pumba zako
Serikali inazalisha na kufundisha "WANASIASA NA RAIA" kuwa sio wazalendo. Taifa letu la kesho halitakua na viongozi wazalendo.
Serikali inavyotengeneza sinema za kununua (Kwa rushwa) wapinzani na kwa vitisho, inafundisha na kutuaminisha kwamba siasa ni "KUJALI TUMBO LAKO" pia "VITA DHIDI YA RUSHWA HAIWEZEKANI".
Vyombo vya dola (hasa vya usalama) vime lawitiwa na viongozi wachache baada ya kujitoa kwenye mfumo wa "VYOMBO VYA USALAMA" na kua "VYOMBO VYA SIASA", credibility imekufa, division of power/delegated legislation hakuna, havina hadhi tena kama vyombo vya usalama, na hakuna raia anaeviamini kwasasa hivi.
Imefikia hatua raia wanashindwa kutofautisha kati ya "KUWA ASKARI POLISI NA VIBARAKA WA CCM", raia wanaona askari ni kibaraka na sio mtu wa kumwamini. Kwasababu jeshi la polisi limekubali kutumika kisiasa.
NB tumeshudia OCD wakiimba mapambio ya CCM. Na hakuna hatua za kinidhamu walichukuliwa.
Hii, tunajenga "UADUI WA NDANI YA TAIFA", na hakuna vita mbaya kama kujenga uadui wa ndani (Katika familia, ni rahisi kupambana na adui wa nje ya familia, kuliko kupigana na adui wa ndani ya familia).
Uadui wa ndani ya taifa ni njia rahisi ya kuruhusu maadui wa nje ya taifa.
Serikali isilalamike kama inavyopenda kulalamika "KUNA BAADHI YA WATU SIO WAZALENDO WA NCHI YETU". Yenyewe ndio inazalisha hao watu, yenyewe ndio inaharibu uzalendo kwa raia, yenyewe ndio inajenga chuki na kuvunja uaminifu kwa raia.
Yaliofanyika jana ni kashfa kubwa kitaifa na duniani. TISS, POLISI, TAKUKURU wanatakiwa watoe "MAJIBU YA KURIDHISHA KWA WANANCHI NA DUNIA". Kukaa kimya, raia na dunia tutaamini wamehusika katika "UVUNJIFU WA SHERIA NA KATIBA YA NCHI".
CHA KUJIULIZA:
Uchafu huu wote pamoja na kuliangamiza taifa, unafanyika kwasababu gani?
Jibu, kwaajili ya viongozi wachache wa CCM (Wasiojali wala kuogopa amani ya nchi kuvunjika, raia kufa, taifa kuangamia) wenye tamaa ya kushika madaraka kwa miaka 5 ijayo.
Lakini hivi vyama ndo vinaunda serikaliSawa, ila nchi ni muhimu zaidi. Chadema na CCM zitapita
Hzi akili za matopeni mnazitoa wapi ? Mdee kasema Wana baraka za Mbowe, mnyika kasema hajui kinachoendelea, Mbowe yupo kimya , wewe Kwa akili yako unaitupia lawama CCM na serikali yake.....mna matatizo makubwa SanaSerikali inazalisha na kufundisha "WANASIASA NA RAIA" kuwa sio wazalendo. Taifa letu la kesho halitakua na viongozi wazalendo.
Serikali inavyotengeneza sinema za kununua (Kwa rushwa) wapinzani na kwa vitisho, inafundisha na kutuaminisha kwamba siasa ni "KUJALI TUMBO LAKO" pia "VITA DHIDI YA RUSHWA HAIWEZEKANI".
Vyombo vya dola (hasa vya usalama) vime lawitiwa na viongozi wachache baada ya kujitoa kwenye mfumo wa "VYOMBO VYA USALAMA" na kua "VYOMBO VYA SIASA", credibility imekufa, division of power/delegated legislation hakuna, havina hadhi tena kama vyombo vya usalama, na hakuna raia anaeviamini kwasasa hivi.
Imefikia hatua raia wanashindwa kutofautisha kati ya "KUWA ASKARI POLISI NA VIBARAKA WA CCM", raia wanaona askari ni kibaraka na sio mtu wa kumwamini. Kwasababu jeshi la polisi limekubali kutumika kisiasa.
NB tumeshudia OCD wakiimba mapambio ya CCM. Na hakuna hatua za kinidhamu walichukuliwa.
Hii, tunajenga "UADUI WA NDANI YA TAIFA", na hakuna vita mbaya kama kujenga uadui wa ndani (Katika familia, ni rahisi kupambana na adui wa nje ya familia, kuliko kupigana na adui wa ndani ya familia).
Uadui wa ndani ya taifa ni njia rahisi ya kuruhusu maadui wa nje ya taifa.
Serikali isilalamike kama inavyopenda kulalamika "KUNA BAADHI YA WATU SIO WAZALENDO WA NCHI YETU". Yenyewe ndio inazalisha hao watu, yenyewe ndio inaharibu uzalendo kwa raia, yenyewe ndio inajenga chuki na kuvunja uaminifu kwa raia.
Yaliofanyika jana ni kashfa kubwa kitaifa na duniani. TISS, POLISI, TAKUKURU wanatakiwa watoe "MAJIBU YA KURIDHISHA KWA WANANCHI NA DUNIA". Kukaa kimya, raia na dunia tutaamini wamehusika katika "UVUNJIFU WA SHERIA NA KATIBA YA NCHI".
CHA KUJIULIZA:
Uchafu huu wote pamoja na kuliangamiza taifa, unafanyika kwasababu gani?
Jibu, kwaajili ya viongozi wachache wa CCM (Wasiojali wala kuogopa amani ya nchi kuvunjika, raia kufa, taifa kuangamia) wenye tamaa ya kushika madaraka kwa miaka 5 ijayo.
Kama serikali inaghushi huku mtaani itakuwaje? tutegemee muendelezo wa kughushi, ikiwa ni moja ya nyenzo ya kujinasua kwenye matatizo
Wamegushi hilo liko wazi. Yani hapa ni wasaliti walioaminika ndani ya Chadema, wameshirikiana na serikali kughushi ili kutimiza lengo lao. Hapa serikali imejitia doa, na CHADEMA kama chama imeonekana kuwa imejaa watu wanaojali matumbo yao. Mbwa kala mbwa. Tuwaache tuendelee na mambo mengine.Uwezo wako wa kuchambua na kung'amua mambo ni mdogo sana!
lakini precedures zipo,tunazungumzia kwa nini hazifuatwi na vyombo vya serikali. zimeenda mbali zaidi zikawa kama taasisi za chamaLakini hivi vyama ndo vinaunda serikali
Fomu za NEC za hao wabunge viti maalum ilibidi ziwe na signature ya Mnyika ambaye anasema hazina. Iwe Mbowe ameshiriki hakushiriki bado uteuzi wao una walakini inabidi uchunguzwe kuna kughushi hapo.Hzi akili za matopeni mnazitoa wapi ? Mdee kasema Wana baraka za Mbowe, mnyika kasema hajui kinachoendelea, Mbowe yupo kimya , wewe Kwa akili yako unaitupia lawama CCM na serikali yake.....mna matatizo makubwa Sana
Huyo unamuelekeza haya sio mzima kiakili. Huwezi kumbadili kwasababu ni wale wauza K bungeni.Fomu za NEC za hao wabunge viti maalum ilibidi ziwe na signature ya Mnyika ambaye anasema hazina. Iwe Mbowe ameshiriki hakushiriki bado uteuzi wao una walakini inabidi uchunguzwe kuna kughushi hapo.
umamuelewesha chiziFomu za NEC za hao wabunge viti maalum ilibidi ziwe na signature ya Mnyika ambaye anasema hazina. Iwe Mbowe ameshiriki hakushiriki bado uteuzi wao una walakini inabidi uchunguzwe kuna kughushi hapo.
NEC haina credibility kabisa, baada ya kufoji kura za urais sasa wanafoji barua za vyama.
Jiwe anajitekenya na kucheka mwenyew
Ww unatafuta matatizo ww aliegush km NEC.CCM.Bunge.DPP wapo juu ya sheria thubutu ww uoneKama serikali inaghushi huku mtaani itakuwaje? tutegemee muendelezo wa kughushi, ikiwa ni moja ya nyenzo ya kujinasua kwenye matatizo
Kauli za uongo zipi? Labda ungetuwekea rejea hapa tuzione. Pamoja na hayo, kitendo cha ofisi tunayoita ya bunge tukufu kushiriki katika kugushi nyaraka in aibu ambayo haijapata kulitokea bunge letu tangu Uhuru.Viongozi wa CHADEMA wameshatoa kauli nyingi za uongo. Hawaaminiki. Usiache shughuli zako sababu ya kuipigania Chadema, utajuta...
Sytem ishamkataa trump,soon air force one haitomtambua,ofisi ya raisi haitomtambua, vyombo vya ulinzi havitomtambua, secretary yake haitomtambua.Atafanya kazi na nani sasa.