Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,370
- 14,522
Naunga mkono hojaHao akina Halima Mdee wafukuzwe uanachama mara moja!

Na ukiendelea tunakushindilia mipiniTulia dawa ikuingie taratibu,
Mifumo yote imeharibiwa na dikteta hakuna mifumo tena tuna amri mkuuMnyika anasema...
Uhakika nilio nao, hao 19 walioenda kuapa, walishirikiana na ofisi za NEC, pamoja na Bunge kughushi nyaraka za chama, kujiteua bila kikao na kujipeleka kwenda kuapa. Huu ni USALITI mkubwa. Wote 19 wanafahamu orodha haiwezi kwenda NEC bila kupitishwa na Kamati Kuu ikiwa na saini ya Katibu Mkuu na mihuri ya chama. Na mimi sijasaini wala Manaibu wangu. Sasa NEC watueleze hiyo orodha waliyopewa ina saini ya nani?
Kughushi ni jinai. Na ni jambo la aibu kama Ofisi ya Bunge na Tume ya Uchaguzi wanaweza kushirikiana na watu wachache ndani ya chama kufanya jinai ya kughushi kwa maslahi yao wenyewe. Naomba wanachama wa CHADEMA, mtoe maoni yenu ni hatua gani zichukuliwe dhidi ya akina Halima Mdee na wenzake. Maoni hayo yawasilishwe kabla ya kikao cha kamati kuu Novemba 27.
Ieleweke hawa sio wabunge wa CHADEMA. Ni wanachama wa CHADEMA walioamua kutumia mwavuli wa Chama kunajisi heshima zao na heshima ya chama chao. CHADEMA hatuwatambui. Ni wabunge wa Viti Maalum kwa matakwa ya CCM, ni Wabunge wa NEC na ni Wabunge wa Spika Ndugai. Kwa ujumla CCM imeamua kujiundia kambi yake ya upinzani Bungeni ili kuokoa Trilioni 2 za wafadhili zisipotee."
Moja ya mambo ya msingi katika nchi huru kujenga taasisi imara ambazo hazitegemei mtu bali mifumo imara itakayofanya taasisi isimame hata asipokuwepo fulani.
NEC, DPP, Bunge n.k wanahusishwa katika jinai. Tafakari kama Tanzania ina taasisi na mifumo au kitu gani?
Hadi hapa tulipo, 90% ya Watanzania siyo wazalendo, na kati yao 95% ni viongozi wabunge wakiwemo.Serikali inazalisha na kufundisha "WANASIASA NA RAIA" kuwa sio wazalendo. Taifa letu la kesho halitakua na viongozi wazalendo.
Serikali inavyotengeneza sinema za kununua (Kwa rushwa) wapinzani na kwa vitisho, inafundisha na kutuaminisha kwamba siasa ni "KUJALI TUMBO LAKO" pia "VITA DHIDI YA RUSHWA HAIWEZEKANI".
Vyombo vya dola (hasa vya usalama) vime lawitiwa na viongozi wachache baada ya kujitoa kwenye mfumo wa "VYOMBO VYA USALAMA" na kua "VYOMBO VYA SIASA", credibility imekufa, division of power/delegated legislation hakuna, havina hadhi tena kama vyombo vya usalama, na hakuna raia anaeviamini kwasasa hivi.
Imefikia hatua raia wanashindwa kutofautisha kati ya "KUWA ASKARI POLISI NA VIBARAKA WA CCM", raia wanaona askari ni kibaraka na sio mtu wa kumwamini. Kwasababu jeshi la polisi limekubali kutumika kisiasa.
NB tumeshudia OCD wakiimba mapambio ya CCM. Na hakuna hatua za kinidhamu walichukuliwa.
Hii, tunajenga "UADUI WA NDANI YA TAIFA", na hakuna vita mbaya kama kujenga uadui wa ndani (Katika familia, ni rahisi kupambana na adui wa nje ya familia, kuliko kupigana na adui wa ndani ya familia).
Uadui wa ndani ya taifa ni njia rahisi ya kuruhusu maadui wa nje ya taifa.
Serikali isilalamike kama inavyopenda kulalamika "KUNA BAADHI YA WATU SIO WAZALENDO WA NCHI YETU". Yenyewe ndio inazalisha hao watu, yenyewe ndio inaharibu uzalendo kwa raia, yenyewe ndio inajenga chuki na kuvunja uaminifu kwa raia.
Yaliofanyika jana ni kashfa kubwa kitaifa na duniani. TISS, POLISI, TAKUKURU wanatakiwa watoe "MAJIBU YA KURIDHISHA KWA WANANCHI NA DUNIA". Kukaa kimya, raia na dunia tutaamini wamehusika katika "UVUNJIFU WA SHERIA NA KATIBA YA NCHI".
CHA KUJIULIZA:
Uchafu huu wote pamoja na kuliangamiza taifa, unafanyika kwasababu gani?
Jibu, kwaajili ya viongozi wachache wa CCM (Wasiojali wala kuogopa amani ya nchi kuvunjika, raia kufa, taifa kuangamia) wenye tamaa ya kushika madaraka kwa miaka 5 ijayo.
Mkuu Okwi Bobani Sunzu,katika kitugumu kueleweka duniani ni SIASA.Mnyika anasema...
Uhakika nilio nao, hao 19 walioenda kuapa, walishirikiana na ofisi za NEC, pamoja na Bunge kughushi nyaraka za chama, kujiteua bila kikao na kujipeleka kwenda kuapa. Huu ni USALITI mkubwa. Wote 19 wanafahamu orodha haiwezi kwenda NEC bila kupitishwa na Kamati Kuu ikiwa na saini ya Katibu Mkuu na mihuri ya chama. Na mimi sijasaini wala Manaibu wangu. Sasa NEC watueleze hiyo orodha waliyopewa ina saini ya nani?
Kughushi ni jinai. Na ni jambo la aibu kama Ofisi ya Bunge na Tume ya Uchaguzi wanaweza kushirikiana na watu wachache ndani ya chama kufanya jinai ya kughushi kwa maslahi yao wenyewe. Naomba wanachama wa CHADEMA, mtoe maoni yenu ni hatua gani zichukuliwe dhidi ya akina Halima Mdee na wenzake. Maoni hayo yawasilishwe kabla ya kikao cha kamati kuu Novemba 27.
Ieleweke hawa sio wabunge wa CHADEMA. Ni wanachama wa CHADEMA walioamua kutumia mwavuli wa Chama kunajisi heshima zao na heshima ya chama chao. CHADEMA hatuwatambui. Ni wabunge wa Viti Maalum kwa matakwa ya CCM, ni Wabunge wa NEC na ni Wabunge wa Spika Ndugai. Kwa ujumla CCM imeamua kujiundia kambi yake ya upinzani Bungeni ili kuokoa Trilioni 2 za wafadhili zisipotee."
Moja ya mambo ya msingi katika nchi huru kujenga taasisi imara ambazo hazitegemei mtu bali mifumo imara itakayofanya taasisi isimame hata asipokuwepo fulani.
NEC, DPP, Bunge n.k wanahusishwa katika jinai. Tafakari kama Tanzania ina taasisi na mifumo au kitu gani?
Mkuu kwenye siasa hakuna aibuAibu sn kwa mamlaka za serikali
Wewe sasahivi una imani na mahakama au bunge?Mkuu kwenye siasa hakuna aibu
Imani itoke wapi mkuuWewe sasahivi una imani na mahakama au bunge?
upo sahihi mia mkuuMkuu Okwi Bobani Sunzu,katika kitugumu kueleweka duniani ni SIASA.
Mkuu nakufuatiliaga sana kule 'jamii sports,'
Ongeza nguvu kule wanamichezo tuburudike huku uje mara moja moja
VIONGOZI WAMEAMUA KUNAJISI TZMnyika anasema...
Uhakika nilio nao, hao 19 walioenda kuapa, walishirikiana na ofisi za NEC, pamoja na Bunge kughushi nyaraka za chama, kujiteua bila kikao na kujipeleka kwenda kuapa. Huu ni USALITI mkubwa. Wote 19 wanafahamu orodha haiwezi kwenda NEC bila kupitishwa na Kamati Kuu ikiwa na saini ya Katibu Mkuu na mihuri ya chama. Na mimi sijasaini wala Manaibu wangu. Sasa NEC watueleze hiyo orodha waliyopewa ina saini ya nani?
Kughushi ni jinai. Na ni jambo la aibu kama Ofisi ya Bunge na Tume ya Uchaguzi wanaweza kushirikiana na watu wachache ndani ya chama kufanya jinai ya kughushi kwa maslahi yao wenyewe. Naomba wanachama wa CHADEMA, mtoe maoni yenu ni hatua gani zichukuliwe dhidi ya akina Halima Mdee na wenzake. Maoni hayo yawasilishwe kabla ya kikao cha kamati kuu Novemba 27.
Ieleweke hawa sio wabunge wa CHADEMA. Ni wanachama wa CHADEMA walioamua kutumia mwavuli wa Chama kunajisi heshima zao na heshima ya chama chao. CHADEMA hatuwatambui. Ni wabunge wa Viti Maalum kwa matakwa ya CCM, ni Wabunge wa NEC na ni Wabunge wa Spika Ndugai. Kwa ujumla CCM imeamua kujiundia kambi yake ya upinzani Bungeni ili kuokoa Trilioni 2 za wafadhili zisipotee."
Moja ya mambo ya msingi katika nchi huru kujenga taasisi imara ambazo hazitegemei mtu bali mifumo imara itakayofanya taasisi isimame hata asipokuwepo fulani.
NEC, DPP, Bunge n.k wanahusishwa katika jinai. Tafakari kama Tanzania ina taasisi na mifumo au kitu gani?
unachangia mada gani?Mwenyekiti Ameshabariki, Wewe Nyumbu Ni Nani Upinge, Unadhani Chadema Ni Ya Watanzania?
Usirushe mawe wakati unaishi kwenye nyumba ya vioo siku akina mama wakiamua kujibu sinema za CDM zinavyotengenezwa akutokalika au wakiamua kumu expose Lissu for what he is.
Mwisho wa siku wao ndio wako mstari wa mbele kupokea virungu na kulala jela. Fatma Karume, Kigogo na Maria Sarungi wao wako Twitter waingie ulingoni kama wenzao halafu ndio waongee.
Alichokifanya Mdee na makamanda wenzake wao ndio wanajua uchungu wa sauti zao kuminywa sio nyie keyboard warriors.