Weka siasa pembeni, tafakari "credibility" ya Mamlaka za Serikali katika sakata la CHADEMA

Huyo unamuelekeza haya sio mzima kiakili. Huwezi kumbadili kwasababu ni wale wauza K bungeni.

umamuelewesha chizi
Skujua kama nyie watu ni mapopoma wa kiwango cha standard gauge , Kesho baada ya hcho kikao cha maigizo nitahitimisha mtazamo wangu kuwa ni heri Baba zenu wangechuruzia chini.... Kuliko kutungisha mimba za matoto mazwazwa kiasi hiki
 
Kamtungishe hiyo mimba mama yako
 
Na Jumapili hakosi kanisani akisema mniombee. Utafiriki ni mtu mwema kweli kweli. Ama kweli kua uyaone. Hivi anajua kuwa huu ujinga wa kughushi anaoagiza kufanyika unafanya viongozi aliowateua wamdharau kwa kificho na kufanya kila aina ya uchafu ili tu wajinufaishe? Muhula huu ndiyo utakuwa na viongozi wanaoongoza kw kijinufaisha. Ona anavojua ku-act. Usanii mtupu.
View attachment 1634794

Mkuu. JPM is a Real Deal. Hana mashaka na malengo na mipango. Halima Mdee ni kamanda. Ndo lugha yenu. Kila siku. Jitahidi kukwepa kuingiza watu wasiohusika. Usiingilie Imani ya mtu. Pambana na hali yako. Sura. Matendo na maneno ya JPM hayana usanii wala unafiki hata kidogo. Mfuaatilie. Ila ukiamua kuwa mnafiki wewe wenyewe ndo utabaki kuatafuta scapegoat
 
Kama kuna kitu kimekuwa constant kwenye awamu ya Tano ni impunity.

Wanaongoza nchi kwa mtazamo wa "Watatufanya nini?" Jeshi ni letu, mahakama ni zetu na bunge ni letu; mtafanya nini?

Kama kweli tume imefuata utaratibu katika kuteua hawa wabunge, na ingekuwa inajiheshimu, ingetoa tamko haraka sana kutaka vyombo vya dola vifanye uchunguzi wa haraka. Maana kuna mawili, tume imepewa forged document, kitu ambacho ni jinai au CHADEMA inadanganya umma, kitu ambacho pia ni jinai.

Lakini wanaongozwa na impunity, hata kama tukifanya kinyume na taratibu, Watanzania watafanya nini?
 
OKW BOBAN SUNZU,

Acha vitisho huelewi chochote kwenye siasa na huna uwezo wowote wa kushawishi kisheria kutengua

Nilitaraji utamsema vibaya mwenyekiti wa chama maana ndiye aliyetajwa kubariki wabunge hao kwenda bungeni lakini unarukaruka tu eti ni usaliti, saini ya nani ipo kwenye nyaraka, mara NEC, DPP wamekula njama, you are just barking like local dog which when intimadated by the master he draws the tail under the belly.
Binti umeolewa? Jinsi unaandika kama vile uko kwenye joto unahitaji dume!
 
Mnyika anasema...

Uhakika nilio nao, hao 19 walioenda kuapa, walishirikiana na ofisi za NEC, pamoja na Bunge kughushi nyaraka za chama, kujiteua bila kikao na kujipeleka kwenda kuapa. Huu ni USALITI mkubwa. Wote 19 wanafahamu orodha haiwezi kwenda NEC bila kupitishwa na Kamati Kuu ikiwa na saini ya Katibu Mkuu na mihuri ya chama. Na mimi sijasaini wala Manaibu wangu. Sasa NEC watueleze hiyo orodha waliyopewa ina saini ya nani?

Kughushi ni jinai. Na ni jambo la aibu kama Ofisi ya Bunge na Tume ya Uchaguzi wanaweza kushirikiana na watu wachache ndani ya chama kufanya jinai ya kughushi kwa maslahi yao wenyewe. Naomba wanachama wa CHADEMA, mtoe maoni yenu ni hatua gani zichukuliwe dhidi ya akina Halima Mdee na wenzake. Maoni hayo yawasilishwe kabla ya kikao cha kamati kuu Novemba 27.

Ieleweke hawa sio wabunge wa CHADEMA. Ni wanachama wa CHADEMA walioamua kutumia mwavuli wa Chama kunajisi heshima zao na heshima ya chama chao. CHADEMA hatuwatambui. Ni wabunge wa Viti Maalum kwa matakwa ya CCM, ni Wabunge wa NEC na ni Wabunge wa Spika Ndugai. Kwa ujumla CCM imeamua kujiundia kambi yake ya upinzani Bungeni ili kuokoa Trilioni 2 za wafadhili zisipotee."

Moja ya mambo ya msingi katika nchi huru kujenga taasisi imara ambazo hazitegemei mtu bali mifumo imara itakayofanya taasisi isimame hata asipokuwepo fulani.

NEC, DPP, Bunge n.k wanahusishwa katika jinai. Tafakari kama Tanzania ina taasisi na mifumo au kitu gani?
Mkuu hawa wafukuzwe maramoja baada ya kusikilizwa kesho iumaa just a formality , maana kuja kwao kwenye kamati inategemea Jiwe kaamkaje ? Kawaelekezaje ? yeye na majasususi wake waliopanga , kufanya na kutekeleza hayo .Hela za masharti ya kamati za PAC LAAC na mashirika ya umma kuundwa na wapinzani zinawatesa sana ccm dona kantri ? Mpaka wanateka watu na kutumia ugaidi taarifa zipo , ingawa unawsona viti maalum hao Kama wamefurahia kumbe wameshinikizwa mpaka maneno ya kuongea wameelekezwa , yatajuliksna siku si nyingi . Kwakuwa wametishwa na hawajasema sisi twende na mwendo wa kuwafukuza ingawa watslindwa na Ndugai lakini chama kitimize wajibu wake .
 
Chadema huwa mnapenda sana kutoa majbu mepesi,jitafakarini
Mi naona tatizo liko hapo, kila mkereketwa ni msemaji wa chama,au anataka chama kimpe maelezo ya kwa nini hivi na hivi. Hii nchi ya watu milioni 60 kila mkereketwa akimtaka raisi ampe maelezo, huyo raisi si ataehuka!
 
Msiite wenzenu wanatamaa ya madaraka wakati hata hao wanao kosoa lengo lao ni madaraka hayohayo
Mnawafanya watu ndo mitajiyenu mujinufaishe
 
Mnyika anasema...

Uhakika nilio nao, hao 19 walioenda kuapa, walishirikiana na ofisi za NEC, pamoja na Bunge kughushi nyaraka za chama, kujiteua bila kikao na kujipeleka kwenda kuapa. Huu ni USALITI mkubwa. Wote 19 wanafahamu orodha haiwezi kwenda NEC bila kupitishwa na Kamati Kuu ikiwa na saini ya Katibu Mkuu na mihuri ya chama. Na mimi sijasaini wala Manaibu wangu. Sasa NEC watueleze hiyo orodha waliyopewa ina saini ya nani?

Kughushi ni jinai. Na ni jambo la aibu kama Ofisi ya Bunge na Tume ya Uchaguzi wanaweza kushirikiana na watu wachache ndani ya chama kufanya jinai ya kughushi kwa maslahi yao wenyewe. Naomba wanachama wa CHADEMA, mtoe maoni yenu ni hatua gani zichukuliwe dhidi ya akina Halima Mdee na wenzake. Maoni hayo yawasilishwe kabla ya kikao cha kamati kuu Novemba 27.

Ieleweke hawa sio wabunge wa CHADEMA. Ni wanachama wa CHADEMA walioamua kutumia mwavuli wa Chama kunajisi heshima zao na heshima ya chama chao. CHADEMA hatuwatambui. Ni wabunge wa Viti Maalum kwa matakwa ya CCM, ni Wabunge wa NEC na ni Wabunge wa Spika Ndugai. Kwa ujumla CCM imeamua kujiundia kambi yake ya upinzani Bungeni ili kuokoa Trilioni 2 za wafadhili zisipotee."

Moja ya mambo ya msingi katika nchi huru kujenga taasisi imara ambazo hazitegemei mtu bali mifumo imara itakayofanya taasisi isimame hata asipokuwepo fulani.

NEC, DPP, Bunge n.k wanahusishwa katika jinai. Tafakari kama Tanzania ina taasisi na mifumo au kitu gani?
Tangu awamu hii iingie madarakani 2015 hakuna kitu kinachofanyika kwa mjibu wa sheria na katiba.

Its so sad!!
 
Waende mahakamani kama ni kweli
 
So what next, chama kinafanyaje kuwafuta ama kufanyaje, maana hii sio sahii sana, ni namna imeingia kupotosha
 
Serikali inazalisha na kufundisha Wanasiasa na Raia kuwa sio wazalendo. Taifa letu la kesho halitakua na viongozi wazalendo.

Serikali inavyotengeneza sinema za kununua (Kwa rushwa) wapinzani na kwa vitisho, inafundisha na kutuaminisha kwamba siasa ni kujali tumbo lako pia vita dhidi ya Rushwa haishindikani.

Vyombo vya dola (hasa vya usalama) vime lawitiwa na viongozi wachache baada ya kujitoa kwenye mfumo wa vyombo vya Usalama na kua vyombo vya siasa, credibility imekufa, division of power/delegated legislation hakuna, havina hadhi tena kama vyombo vya usalama, na hakuna raia anaeviamini kwasasa hivi.

Imefikia hatua raia wanashindwa kutofautisha kati ya kuwa Askari polisi na vibaraka wa CCM raia wanaona askari ni kibaraka na sio mtu wa kumwamini. Kwasababu jeshi la polisi limekubali kutumika kisiasa.

NB tumeshudia OCD wakiimba mapambio ya CCM. Na hakuna hatua za kinidhamu walichukuliwa.

Hii, tunajenga uadui ndani ya Taifa. na hakuna vita mbaya kama kujenga uadui wa ndani (Katika familia, ni rahisi kupambana na adui wa nje ya familia, kuliko kupigana na adui wa ndani ya familia).

Uadui wa ndani ya taifa ni njia rahisi ya kuruhusu maadui wa nje ya taifa.

Serikali isilalamike kama inavyopenda kulalamika "Kuna baadhi ya watu sio Wazalendo wa Nchi yetu" Yenyewe ndio inazalisha hao watu, yenyewe ndio inaharibu uzalendo kwa raia, yenyewe ndio inajenga chuki na kuvunja uaminifu kwa raia.

Yaliofanyika jana ni kashfa kubwa kitaifa na duniani. TISS, Polisi, TAKUKURU wanatakiwa watoe majibu ya kuridhisha kwa Wanancu na Dunia"Kukaa kimya, raia na dunia tutaamini wamehusika katika uvunjifu wa Sheria na Katiba ya Nchi.

Cha kujiuliza:

Uchafu huu wote pamoja na kuliangamiza taifa, unafanyika kwasababu gani?

Jibu, kwaajili ya viongozi wachache wa CCM (Wasiojali wala kuogopa amani ya nchi kuvunjika, raia kufa, taifa kuangamia) wenye tamaa ya kushika madaraka kwa miaka 5 ijayo.
Uzalendo unatoka wapi
 
Labda uniambie nisubiri serikali ijibu (majibu yasiyo na mashaka na ushaidi) Kuhusu Mbowe kutajwa sio hoja kwani hata wewe hapo ulipo unaweza kumtaja bila madhara yeyote. Niamini vipi wakati katibu wake ametamka kwamba hausiki na ameitisha kikao kuwajadili waliomtaja?
Tujadili kwa hoja mkuu
Serikali si imeshasema majina waliyapokea kutoka chamani, Sasa Nani mkweli?
Sarakasi za siasa
 
Back
Top Bottom