tz hii au nchi nyingine?. kama mbunge wako tu kule jimboni kwenu anaweza kutoa order kwa askari polisi usukumiwe ndani siku mbili bila maelezo kisa tu kahisi unatembea na mchepuko wake, atashindwa mwanajeshi senior kwenda kutoa order ndg yake atolewe kituoni?.Hakuna mtu wa kumtoa Mtu mwingine kinguvu awapo kituo cha Polisi, hii yako ni Chai kama chai zingine
Hawa watu wanabishana tu wamekaa kwenye masofa ndani.tulia we pongo mjeshi akitoa boko akiingia selo anaakua mpole ila akiuziwa kesi ya kifala kama tunazouziwa sisi sijui uzururaji jua akipiga simu Moja tu tu kwa wanae vipongo lazima vijinyee
Kuna ex polis alinipa mkasa wake , kipind wapo doria za usiku wanaokota mandezi wakamzoa ba mwamba mmoja yuko na bag lake wakamtia pingu bag wakakata nalo wenyewe wakazaurura naye usiku kucha maana yeye alikua hawongei wengine wanatoa mpunga wanashushwa unapewa simu yako upigiwe ndugu zako waliweka marundo unashushwa alfajir kabak jamaa na walevi kadhaa wakapelekwa kituoni sasa kufungua bag la jamaa anakutana na gwanda zina nyota apo ndio walijua wamejipakata mkuu wa kituo ndio alikuja kuomba radhi kwa niaba ya wahuni wake, katika scenario kama hii usitegemee luten ataanza process za dhamana serikali ya mtaa akipiga simu kikosin kitakachofatia hapo ni west bank
Haha, kwanini Intel?Sikuwezi😂🤣😀
Mtu mwenye mamlaka ya kukusukumia ndani ni DC au RC na law enforcers, Mbunge hana mamlaka ya kuliamrisha Jeshi la Polisi kukuweka ndani. Vinginenyo alalamike kama tu wananchi wenginetz hii au nchi nyingine?. kama mbunge wako tu kule jimboni kwenu anaweza kutoa order kwa askari polisi usukumiwe ndani siku mbili bila maelezo kisa tu kahisi unatembea na mchepuko wake, atashindwa mwanajeshi senior kwenda kutoa order ndg yake atolewe kituoni?.
Cha ukorofi 😀🤣, dah ka ubabe ka Arusha unako🤣😂Haha, kwanini Intel?
😂😂😂 mbona huu mwaka nimeanza kujitahidi kuwa mpole, imekuwaje tena?Cha ukorofi 😀🤣, dah ka ubabe ka Arusha unako🤣😂
Kumaanisha hiyo ni speed ya mwisho😀🤣,😂😂😂 mbona huu mwaka nimeanza kujitahidi kuwa mpole, imekuwaje tena?
😂😂😂 muoneKumaanisha hiyo ni speed ya mwisho😀🤣,
👉Basi naomba uwa hurumie🙏🙏
Acha utoto.Mtu mwenye mamlaka ya kukusukumia ndani ni DC au RC na law enforcers, Mbunge hana mamlaka ya kuliamrisha Jeshi la Polisi kukuweka ndani. Vinginenyo alalamike kama tu wananchi wengine
Mshike huyoo🤣😀😂😂😂😂 muone
huna akili.Mtu mwenye mamlaka ya kukusukumia ndani ni DC au RC na law enforcers, Mbunge hana mamlaka ya kuliamrisha Jeshi la Polisi kukuweka ndani. Vinginenyo alalamike kama tu wananchi wengine
jwtz walichezea.JWTZ wavamia kituo cha FFU na kukisambaratisha
Kitu usichojua siku zote kwenye makosa madogo madogo polisi na jwtz hubebana na hii hutokana na lengo la kujenga uhusiano mzuri maana vyombo hivi mara kadhaa hufanya joint work/operation.Hakuna polisi anayepelekeshwa katika majukumu yake hizo stori zako za uongo peleka kijijini kwenu ukawadanganye.tulia we pongo mjeshi akitoa boko akiingia selo anaakua mpole ila akiuziwa kesi ya kifala kama tunazouziwa sisi sijui uzururaji jua akipiga simu Moja tu tu kwa wanae vipongo lazima vijinyee
Kuna ex polis alinipa mkasa wake , kipind wapo doria za usiku wanaokota mandezi wakamzoa ba mwamba mmoja yuko na bag lake wakamtia pingu bag wakakata nalo wenyewe wakazaurura naye usiku kucha maana yeye alikua hawongei wengine wanatoa mpunga wanashushwa unapewa simu yako upigiwe ndugu zako waliweka marundo unashushwa alfajir kabak jamaa na walevi kadhaa wakapelekwa kituoni sasa kufungua bag la jamaa anakutana na gwanda zina nyota apo ndio walijua wamejipakata mkuu wa kituo ndio alikuja kuomba radhi kwa niaba ya wahuni wake, katika scenario kama hii usitegemee luten ataanza process za dhamana serikali ya mtaa akipiga simu kikosin kitakachofatia hapo ni west bank
Kumbe yapo haya mambo wanachobisha wanabisha nn?jwtz walichezea.View attachment 2864514
Tatizo ushaoa😏
mimi ni raia niliewah kuonewa ndio maana nafurah kamanda wanavyowapasuaga mkiingia anga zaoKitu usichojua siku zote kwenye makosa madogo madogo polisi na jwtz hubebana na hii hutokana na lengo la kujenga uhusiano mzuri maana vyombo hivi mara kadhaa hufanya joint work/operation.Hakuna polisi anayepelekeshwa katika majukumu yake hizo stori zako za uongo peleka kijijini kwenu ukawadanganye.
Halafu mwandiko wako kama askari wa zima moto hivi.[emoji23]