Weka wazi ID ya kike inayokupagawisha hapa JF

Weka wazi ID ya kike inayokupagawisha hapa JF

Wakuu,
Najua tunamambo mengi yakujadili.

Lakini tuki-base nayo sana tutadata, mana nji hii kil aasubuh kuna jipya.

Uzi huu ni moto wa mabua,
(Short life thread)

Tujuzane tu ID za females inayokupagawisha hapa JF.

Lengo kuona 'Je , kitu unachodhani ni wew tu unakifikiri, anaweza kufikiri mwingine.

Bubbles +Mapovu ruksa as i know.
Mrs Mrs air ni ugonjwa wangu
 
[HASHTAG]#mbitiyaza[/HASHTAG] ni ugonjwa wangu
 
goodfool is a "good fool" for a reason, anafanya uchochezi naona.

Unalala saa ngapi aisee! Maana imeshaingia Sikh mpya now.
Hajjajajaja, ACHA NIKESHE, KESHO NARUDI BUSH KWA KAZ ZA WATU, NI MPAKA WIKI END, HUKO NO UMEME NO GOOD NET. HUWA NAPAMIS SANA HAPA. I'M LIVING IN TOWN WORKIN IN RURAL.
 
Back
Top Bottom