Weka wazi ID ya kike inayokupagawisha hapa JF

Weka wazi ID ya kike inayokupagawisha hapa JF

Kumbuka ile ahadi...
14433a18c1c061565b361753a051546c.jpg
Maisha ya hii ndoa mafup ka hii thread[emoji116]
 
Me awe mrefu wastani ,maji ya kunde af awe ana tumbo flat na kiuno chembamba halafu nyuma awe normal mbele kajaa af awe ana kaaibu flani na kudeka kidogo na kuringa kidogo yaani me hoiiiiiii
Hapo kunishika ugoni ni kugusa tu, daily,



Oa wa hivyo utansamehe[emoji23]
 
Back
Top Bottom