Weka wazi ID ya kike inayokupagawisha hapa JF

Weka wazi ID ya kike inayokupagawisha hapa JF

Wakuu,
Najua tunamambo mengi yakujadili.

Lakini tuki-base nayo sana tutadata, mana nji hii kil aasubuh kuna jipya.

Uzi huu ni moto wa mabua,
(Short life thread)

Tujuzane tu ID za females inayokupagawisha hapa JF.

Lengo kuona 'Je , kitu unachodhani ni wew tu unakifikiri, anaweza kufikiri mwingine.

Bubbles +Mapovu ruksa as i know.
Mimi sivutiwi na Id yoyote ya kike humu ila navutiwa na michango ya @Joanah,@beef la sagna na Binamu warumi .
 
Back
Top Bottom