Weka wazi ID ya kike inayokupagawisha hapa JF

Weka wazi ID ya kike inayokupagawisha hapa JF

Upo sawa na mimi
Mwanamke ndani ya hijab,afu awe mfupi, maji ya kunde au mweupe napagawa kabisa hadi shingo nageuza!!!!!
Me awe mrefu wastani ,maji ya kunde af awe ana tumbo flat na kiuno chembamba halafu nyuma awe normal mbele kajaa af awe ana kaaibu flani na kudeka kidogo na kuringa kidogo yaani me hoiiiiiii
 
Tajiri msomi njoo
8d521f697d0e2fba11796967ff811230.jpg
Huyu kenya[emoji116]
 
So unatuchura twako apo??

Ila, em niulize, hivi ma gay hayaez jichanganya hapa?

[emoji350] [emoji350] kama kuna besexu... anikane mara 3,
Ninatwo twa kukalia mkuu sio yule wa kunesa nesa,
Miandiko tu unajua hili ni dume lbd km sijakuelewa
 
Back
Top Bottom