Majestic wolf
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 1,248
- 1,851
Me awe mrefu wastani ,maji ya kunde af awe ana tumbo flat na kiuno chembamba halafu nyuma awe normal mbele kajaa af awe ana kaaibu flani na kudeka kidogo na kuringa kidogo yaani me hoiiiiiiiUpo sawa na mimi
Mwanamke ndani ya hijab,afu awe mfupi, maji ya kunde au mweupe napagawa kabisa hadi shingo nageuza!!!!!