Weka wazi ID ya kike inayokupagawisha hapa JF

Weka wazi ID ya kike inayokupagawisha hapa JF

Tajiri msomi njoo
8d521f697d0e2fba11796967ff811230.jpg
Wapi kapeace mweeee
 
Let me be honest kuna Dada anaitwa beef lasgna(spelling haziko sawa) I think anapendelea kuvaa majuba na kiukweli for me a lady in hijab is the sexiest though I'm a Christian
Upo sawa na mimi
Mwanamke ndani ya hijab,afu awe mfupi, maji ya kunde au mweupe napagawa kabisa hadi shingo nageuza!!!!!
 
Wakuu,
Najua tunamambo mengi yakujadili.

Lakini tuki-base nayo sana tutadata, mana nji hii kil aasubuh kuna jipya.

Uzi huu ni moto wa mabua,
(Short life thread)

Tujuzane tu ID za females inayokupagawisha hapa JF.

Lengo kuona 'Je , kitu unachodhani ni wew tu unakifikiri, anaweza kufikiri mwingine.

Bubbles +Mapovu ruksa as i know.

ID's za Jecha wa ZEC Zanzibar na Chebukati wa IEBC Kenya.
 
Back
Top Bottom