uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
Kwa anataka pwani kwa ajili ya kulima miti ya mitiki, shamba lipo ,ekari moja 200000, zipo eka 30
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha ha atatoka usik kuja kuwekezamzee hesabu ni simple na faida ni zaidi ya hiyo sema siyo vizuri kuwataja watu wakubwa waliowekeza kwenye miti huku mufindi nikikupa mifano unaweza usiku huu ukafunga safari kuja kuwekeza mkuu
Pine ndiyo huleta rutuba sana kwenye shamba na ndio maana tukivuna msimu huo tunapanda mahindi,ulezi au maharage hustawi sana then tunarudishia miti mfano ukipita hapa sao hill utaona sehemu ilyovunwa miti kumepandwa mahindi alikwambia kakudanganya.Nimeambiwa kuwa pine huharibu rutuba ya ardhi. Je, ni kweli?
Teh teh teh ndio mkuu there is a super abnormal profit sasa siunajua kwenye miti hakuna wajenziHa ha ha ha ha atatoka usik kuja kuwekeza
Mkuu umefafanua vizuri japo mie sio kishoka wala dalali nikikusimulia nimeanza kupanda miti yangu kwa mkono wangu tangu nikiwa darasa la sita mwaka2004 sasa kila mwaka nikawà napanda ekari moja nimeanza sekondari miti bado midogo kwanini nisiuze kwa bei ndogo nijisomeshe haya chuo nako mahitaji kibao kwanini nisiuze bei ndogo ili nijikwamue so kuuza kwa bei ndogo ni kwasababu ya ugumu wa maishaHuyu ni kishoka au dalali.
Kusema ukweli upandaji wa miti ni hazina hasa kwa maana ya uqekezaji wa muda mrefu kuanzia miaka 10.
Wastani wa shamba la miti lenye miaka 15 huuzwa kwa mil 15 (miti tuu bila ardhi na mnunuzi anatakiwa kuondoa miti ndani ya miezi 3). Hapa tunazungumzia shamba ambalo miti imestawi vizuri na ardhi yake ni nzuri kinyumbe cha hapo bei inaweza fika hadi mil 10.
Sasa ipo hivi. Shamba pamoja na kupanda miti kwa ekari ni 200,000. Kama una ekari 100 utatakiwa kuwa na mil 20 kwa mwaka wa kwanza. Kutunza ekari 100 kwa mwaka ni kama mil.2 Kwa miaka 15 ni kama mil.30 Hivyo hadi kuvuna utatumia kama mil.50 hapo thamani ya pesa sijaihusisha.
KUVUNA
Kwemye ekari 100 unakuwa na miti kati ya 40,000 hadi 50,000
Tuchukulie miti ilikataa kabisa ukabakiwa na miti 35,000.
Maeneo mengi wanauza kwa mti hasa miti mikubwa.
Fanya mti.mmoja utauzwa kwa bei ya sasa ya 20000.
35000*20000 = 700,000,000
Jamani hizo ni milion 700.
Sasa ili uelewe maisha yanaendaje gawanya hiyo mil 700 kwa 15 na gawanya zile mil 50 kwa 15.
Ina maana kwamba ukifanya investment ya mil 3.3 kwa kila mwaka baada ya miaka 15 utakua unavuna mil 46.
Baada ya kuanza kuvuna utatoa mil 3.3 tena unapanda hiyo ekari moja uliyo vuna na maisha yanaendelea.
Ukisikia nchi kama canada ambako watoto wanazaliwa ni matajiri ni kwa sababu babu zao waliona mbali.
Ushahidi nenda makete ukaone wakinga walivyo na uridhi wa uhakika.
Jinsi ya kufanya
1. Nunua shamba la ekari kama 100 , semehmu nyingi ekari moja ni 100000 .
Ukisha zilipa hizo mil.10 anza mkakati wa upandaji kwa kila.mwaka.
Baada ya miaka 15 utakuja utwambie hapa kwenye huu uzi kama bado unakimbizana na NSSF au mwemzetu una NSSF yako.mwemyewe
Mkuu karibu hii ni fursa kwa wote nchi ni yetu sote watu wengi wa kandà ya ziwa wamewekeza huku ndo maana kitakwimu wilaya hii mufindi ni ya pili kimapato kwa taifa karibu.Mkuu kumbe uko gharama za viwanja zina nafuu mno. Hongereni wenye nafasi hizo
Mwandiko wako vs chuomkuu umefafanua vizuri japo mie sio kishoka wala dalali nikikusimulia nimeanza kupanda miti yangu kwa mkono wangu tangu nikiwa darasa la sita mwaka2004 sasa kila mwaka nikawà napanda ekari moja nimeanza sekondari miti bado midogo kwanini nisiuze kwa bei ndogo nijisomeshe haya chuo nako mahitaji kibao kwanini nisiuze bei ndogo ili nijikwamue so kuuza kwa bei ndogo ni kwasababu ya ugumu wa maisha
lakin in all ufafanuzi wako mzuri karibu sana mufindi
Nimetoka kilolo kijiji cha masisiwe mti mmoja unafaa kuvunwa unauzwa sh 2,500 nilikua na ekar 4 zangu nilinunua 2010. Kwa bei hiyo nimetamani hata kuichoma moto. Kama una wanunuzi wa sh 10,000 njoo pm ekari 4 zipo vizuri unatoa mpaka mbao za 8ni uwekezaji mzuri ni kama umeweka pesa bank kwenye fixed account
mfano huku mufindi ekari moja utainunua kwa tsh900000 amoja na ardhi miti ikiwa na miaka6 so ekari moja ina miti600 baada ya miaka minne ijayo kila mti utauuza wastani tsh 7000
600*7000=4200000 kila ekari na unapanda tena njoo uwekeze
0716101434
picha hazitak ku upload
Kwangu pm haitaki hebu ni pm tuongeeNimetoka kilolo kijiji cha masisiwe mti mmoja unafaa kuvunwa unauzwa sh 2,500 nilikua na ekar 4 zangu nilinunua 2010. Kwa bei hiyo nimetamani hata kuichoma moto. Kama una wanunuzi wa sh 10,000 njoo pm ekari 4 zipo vizuri unatoa mpaka mbao za 8
Uzuri wake ndo huo unauza ukipenda ubaya unakuja ukiuguliwa,ada ya watoto shule,kujenga nk lazima uuze kwa hasaraMti mmoja 7000?! Uzuri miti ya mbao siyo kama matunda, tutauza hate awamu ya 6
teh teh teh noma sana huu ni uwekezaji wa muda mrefu
Naomba Mungu anisaidie yasinikute yote hayo aisee......Uzuri wake ndo huo unauza ukipenda ubaya unakuja ukiuguliwa,ada ya watoto shule,kujenga nk lazima uuze kwa hasara
mungu ndio wa kwanza nikikusimulia nilivounguliwa miti mara mbili,utakata tamaa ila ....mara ya mwisho nilitusuaNaomba Mungu anisaidie yasinikute yote hayo aisee......
Hebu nisimulue, nahisi miguu inatetemeka!mungu ndio wa kwanza nikikusimulia nilivounguliwa miti mara mbili,utakata tamaa ila ....mara ya mwisho nilitusua
nielekeze umenunua sehem gan miti yakoHebu
Hebu nisimulue, nahisi miguu inatetemeka!
Mimi siyo mkongwe, kuna ndugu yangu yupo huko muda mrefu siwezi kumtaja hapa. Amenichukulia miti huko mwaka Jana, sijapata nafasi ya kufika huko, nategemea kufika mwakani.nielekeze umenunua sehem gan miti yako
Bila shaka ni mapanda kikubwa imani nitakuelekeza jins ya kukinga majanga ya moto kwa gharama ndogoMimi siyo mkongwe, kuna ndugu yangu yupo huko muda mrefu siwezi kumtaja hapa. Amenichukulia miti huko mwaka Jana, sijapata nafasi ya kufika huko, nategemea kufika mwakani.