Alinitajia jina kama hilo ndiyo, alinitia moyo siku hizi hakuna shida ya moto, kuna sheria Kali! Ila umeniambia akili imeanza kustuka!bila shaka ni mapanda kikubwa imani nitakuelekeza jins ya kukinga majanga ya moto kwa gharama ndogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alinitajia jina kama hilo ndiyo, alinitia moyo siku hizi hakuna shida ya moto, kuna sheria Kali! Ila umeniambia akili imeanza kustuka!bila shaka ni mapanda kikubwa imani nitakuelekeza jins ya kukinga majanga ya moto kwa gharama ndogo
Pine ipo aina ngapi? Wa Bukoba, pine inakomaa kwa miaka 9/10+ !Kuna kazi ya kulisafisha shamba (ku pluni miti) kila mwaka, hapo bado majanga ya moto
Hujaweka ile hidden risk ya kuchomeana mashamba ya miti kwa makusudi!!!Ni uwekezaji mzuri, kama umeweka pesa Bank kwenye Fixed Account. Mfano huku mufindi ekari moja utainunua kwa Tsh. 900000 amoja na ardhi miti ikiwa na miaka 6. So, hekari moja ina miti 600 baada ya miaka minne ijayo kila mti utauuza wastani Tsh. 7000.
600*7000=4200000 kila hekari na unapanda tena.
Njoo uwekeze
0716101434
Picha hazitaki ku-upload
Mufindi kubwa! Hayo mashamba yanapatikana maeneo gani? Mapanda, Ihanu, Ifwagi, Sawala, Luhunga, Mdabulo, Bumilayinga, Kibao, Itona.
Na vipi kuhusu historia ya moto kwenye hayo maeneo? Maana huo mti wa pine ukishika tu moto hugeuka kuwa petroli! Bora hata ya mlingoti.