Wekeza kwenye kilimo cha miti ya mbao PINE

Wekeza kwenye kilimo cha miti ya mbao PINE

Kwa hesabu za haraka haraka, anayekuuzia ekari kwa laki 9 anakubali kupoteza milioni 41 ambazo angezipata kwa kuvumilia only four years?
ni kweli but kumbuka tangu ikiwa na mwaka mmoja kaitunza na maisha inabidi yaendelee kwa kufanya vitu vingine
 
mzee hiyo ni ekari moja ukiwa nazo kumi je?
ndio maana nikasema uendeshaji wake upo vipi, gharama za uendeshaji risk za kutokupata kitu n.k. unajua bila risk hata kama faida ni elfu kumi kwa mwaka inakuwa sio mbaya yaani guaranteed ila kitu chenye risk ya kutokupata faida yake inabidi iwe maradufu ili ukipata ufidie pale ambapo haujapata
 
ni uwekezaji mzuri ni kama umeweka pesa bank kwenye fixed account
mfano huku mufindi ekari moja utainunua kwa tsh900000 amoja na ardhi miti ikiwa na miaka6 so ekari moja ina miti600 baada ya miaka minne ijayo kila mti utauuza wastani tsh 7000
600*7000=4200000 kila ekari na unapanda tena njoo uwekeze
0716101434
picha hazitak ku upload
Mti unauzwa 7,000/=?
 
Kiongozi nitakutafuta mwisho wa mwezi wa 10.Nataka kama heka 5 mpaka 9
 
mkuu risk kuu ni moto tu ambao kwa kiasi kikubwa upo controlled ni nadra kutokea ila kila kiangazi ni lazima uweke fire line ambayo kwa ekari moja gharama ni sh elfu20 kusembua na kuichoma
 
Mti unauzwa 7,000/=?
ndio mkuu mti wenye umri wa miaka kumi wenye uwezo wa kutoa kuanzia ubao wa1*8 hadi 2*6 kabla ya awamu hii tuliuza hadielfu15 awamu hii biashara mbovu tangu utawala huu ni elfu7 kushuka chini
 
Kiongozi nitakutafuta mwisho wa mwezi wa 10.Nataka kama heka 5 mpaka 9
nitafute mkuu kuna baadhi ya plot nataka nizipunguze hutajutia kuwekeza wengi sana wanaifurahia fursa hii ila usikutane na madalali walioko huko dar ni waongo watakutajia bei kubwa
 
Kuna kazi ya kulisafisha shamba (ku pluni miti) kila mwaka, hapo bado majanga ya moto
mkuu kupluni ni mwaka mmjoa tu mti ukiwa na miaka minne labda kufyekelea ni miaka miwili gharama haizidi elfu40 kwa kila ekari labda kama umeuziwa kiudalali
 
Hizo hesabu ni rahisi kuliko uhalisia.
mzee hesabu ni simple na faida ni zaidi ya hiyo sema siyo vizuri kuwataja watu wakubwa waliowekeza kwenye miti huku mufindi nikikupa mifano unaweza usiku huu ukafunga safari kuja kuwekeza mkuu
 
ni uwekezaji mzuri ni kama umeweka pesa bank kwenye fixed account
mfano huku mufindi ekari moja utainunua kwa tsh900000 amoja na ardhi miti ikiwa na miaka6 so ekari moja ina miti600 baada ya miaka minne ijayo kila mti utauuza wastani tsh 7000
600*7000=4200000 kila ekari na unapanda tena njoo uwekeze
0716101434
picha hazitak ku upload
Yani niwekeze milioni moja ili nipate milioni 4 baada ya miaka 10. Uchumi haujafa kiasi hicho ntapambana na harakati nyingine
 
Kati ya pine, bodo bodo na mikaratusi ipi yenye soko zuri? Kwann wengi hawapandi mikaratusi?
watu tunapanda pine kwasababu ina soko upande wa mbao na wachina huihitaji viwandani mafingà mjini kwaajili ya kutengeneza ceiling board,bodobodo soko ni dogo kwaajili ya viberiti tu ila mikaratusi ni dili sana pia tunaiita solijina au milingoti hii hutumika kwaajili ya nguzo za umeme,milunda au fito hatupendi kuilima kwasababu ya jiografia ya mufindi ya milima na mabonde kuzivuta toka bondeni ni ngumu japo tunazipanda sehemu chache za tambarare na kando ya barabara hii inafaida sana karibu
 
ndio mkuu mti wenye umri wa miaka kumi wenye uwezo wa kutoa kuanzia ubao wa1*8 hadi 2*6 kabla ya awamu hii tuliuza hadielfu15 awamu hii biashara mbovu tangu utawala huu ni elfu7 kushuka chini
Kwa uzoefu wangu mti wa miaka kumi unatoa mbao 12. Kwa bei yako ya mti ni ndogo mno ingawa nazungumzia bei ya kanda ya ziwa uko
 
Yani niwekeze milioni moja ili nipate milioni 4 baada ya miaka 10. Uchumi haujafa kiasi hicho ntapambana na harakati nyingine
ndo maana nikasema ni kama fixed unawekeza ukilenga watoto wako wakiwa advance or university au fikiria kila mwaka unawekeza ekari 5*4000000 utakapoanza kuvuna ni kila mwaka una uhakika wam20 kama kila mwaka uliweka eka tano mfululizo kwa mika letsay mitano uje pm nikupe mifano ya wakinga walio na magholofa mengi miti imewatoaje
 
Kwa uzoefu wangu mti wa miaka kumi unatoa mbao 12. Kwa bei yako ya mti ni ndogo mno ingawa nazungumzia bei ya kanda ya ziwa uko
ni sahihi mti wa miaka10 awamu iliyopita tuliza hadi elfu15 lakini nisidanganye usawa huu ujenzi umedorora sana hiyo ndo bei ya kuuzia shambani kwasasa
 
600*7000=4200000 kila ekari na unapanda tena! Km ni hv why mnauza mashamba msisubirie kuvuna?
Iko hivi mkuu ukitaka usalama nunua shamba plain ambalo halijapandwa miti upa de mwenyewe au ulipe vibarua wakupandie. Uzuri wake ni kua kama shamba lina mgogoro ni rahisi kujua kabla hujaingia garama zaidi.
Kununua shamba lililopandwa risk yake ni Kua mnaweza uziwa hata watu 4 bila kujuama maana kila mmoja ataenda kutembelea shamba kwa wakati wake mwishowe unakuta mwenye bahati kawahi kuuza
Pia shamba kupanda sio garama sana kama utanunua shamba kwa 250k plain ukapanda mwenyewe ambapo mche mmoja unauzwa 100 na kupanda mche mmoja ni sh 50 mpaka 60 utunze hadi miaka 6 uuze 900,000??
 
ndo maana nikasema ni kama fixed unawekeza ukilenga watoto wako wakiwa advance or university au fikiria kila mwaka unawekeza ekari 5*4000000 utakapoanza kuvuna ni kila mwaka una uhakika wam20 kama kila mwaka uliweka eka tano mfululizo kwa mika letsay mitano uje pm nikupe mifano ya wakinga walio na magholofa mengi miti imewatoaje
Wewe hutaki hizo M 20 kila mwaka hadi uje kututangazia hapa! Acheni kuficha mambo ili mkamate watu..

Sasa fanya kuashum sijapata hizo pesa hivi unaweza kunipa sababu 5 tu kwanini sijapata hizo m 4.2?
 
Iko hivi mkuu ukitaka usalama nunua shamba plain ambalo halijapandwa miti upa de mwenyewe au ulipe vibarua wakupandie. Uzuri wake ni kua kama shamba lina mgogoro ni rahisi kujua kabla hujaingia garama zaidi.
Kununua shamba lililopandwa risk yake ni Kua mnaweza uziwa hata watu 4 bila kujuama maana kila mmoja ataenda kutembelea shamba kwa wakati wake mwishowe unakuta mwenye bahati kawahi kuuza
Pia shamba kupanda sio garama sana kama utanunua shamba kwa 250k plain ukapanda mwenyewe ambapo mche mmoja unauzwa 100 na kupanda mche mmoja ni sh 50 mpaka 60 utunze hadi miaka 6 uuze 900,000??
Mkuu kumbe uko gharama za viwanja zina nafuu mno. Hongereni wenye nafasi hizo
 
ni uwekezaji mzuri ni kama umeweka pesa bank kwenye fixed account
mfano huku mufindi ekari moja utainunua kwa tsh900000 amoja na ardhi miti ikiwa na miaka6 so ekari moja ina miti600 baada ya miaka minne ijayo kila mti utauuza wastani tsh 7000
600*7000=4200000 kila ekari na unapanda tena njoo uwekeze
0716101434
picha hazitak ku upload
Huyu ni kishoka au dalali.

Kusema ukweli upandaji wa miti ni hazina hasa kwa maana ya uqekezaji wa muda mrefu kuanzia miaka 10.

Wastani wa shamba la miti lenye miaka 15 huuzwa kwa mil 15 (miti tuu bila ardhi na mnunuzi anatakiwa kuondoa miti ndani ya miezi 3). Hapa tunazungumzia shamba ambalo miti imestawi vizuri na ardhi yake ni nzuri kinyumbe cha hapo bei inaweza fika hadi mil 10.

Sasa ipo hivi.

Shamba pamoja na kupanda miti kwa ekari ni 200,000 .

Kama una ekari 100 utatakiwa kuwa na mil 20 kwa mwaka wa kwanza.

Kutunza ekari 100 kwa mwaka ni kama mil.2

Kwa miaka 15 ni kama mil.30

Hivyo hadi kuvuna utatumia kama mil.50 hapo thamani ya pesa sijaihusisha.

KUVUNA

Kwemye ekari 100 unakuwa na miti kati ya 40,000 hadi 50,000

Tuchukulie miti ilikataa kabisa ukabakiwa na miti 35,000.

Maeneo mengi wanauza kwa mti hasa miti mikubwa.

Fanya mti.mmoja utauzwa kwa bei ya sasa ya 20000.

35000*20000 = 700,000,000

Jamani hizo ni milion 700.

Sasa ili uelewe maisha yanaendaje gawanya hiyo mil 700 kwa 15 na gawanya zile mil 50 kwa 15.

Ina maana kwamba ukifanya investment ya mil 3.3 kwa kila mwaka baada ya miaka 15 utakua unavuna mil 46.

Baada ya kuanza kuvuna utatoa mil 3.3 tena unapanda hiyo ekari moja uliyo vuna na maisha yanaendelea.

Ukisikia nchi kama canada ambako watoto wanazaliwa ni matajiri ni kwa sababu babu zao waliona mbali.

Ushahidi nenda makete ukaone wakinga walivyo na uridhi wa uhakika.

Jinsi ya kufanya

1. Nunua shamba la ekari kama 100 , semehmu nyingi ekari moja ni 100000 .

Ukisha zilipa hizo mil.10 anza mkakati wa upandaji kwa kila.mwaka.

Baada ya miaka 15 utakuja utwambie hapa kwenye huu uzi kama bado unakimbizana na NSSF au mwemzetu una NSSF yako.mwemyewe
 
Back
Top Bottom