ya mufindi
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 569
- 888
- Thread starter
- #21
karibu mzeed
Nakuja tuyajenge...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
karibu mzeed
Nakuja tuyajenge...
ni kweli but kumbuka tangu ikiwa na mwaka mmoja kaitunza na maisha inabidi yaendelee kwa kufanya vitu vingineKwa hesabu za haraka haraka, anayekuuzia ekari kwa laki 9 anakubali kupoteza milioni 41 ambazo angezipata kwa kuvumilia only four years?
ndio maana nikasema uendeshaji wake upo vipi, gharama za uendeshaji risk za kutokupata kitu n.k. unajua bila risk hata kama faida ni elfu kumi kwa mwaka inakuwa sio mbaya yaani guaranteed ila kitu chenye risk ya kutokupata faida yake inabidi iwe maradufu ili ukipata ufidie pale ambapo haujapatamzee hiyo ni ekari moja ukiwa nazo kumi je?
Mti unauzwa 7,000/=?ni uwekezaji mzuri ni kama umeweka pesa bank kwenye fixed account
mfano huku mufindi ekari moja utainunua kwa tsh900000 amoja na ardhi miti ikiwa na miaka6 so ekari moja ina miti600 baada ya miaka minne ijayo kila mti utauuza wastani tsh 7000
600*7000=4200000 kila ekari na unapanda tena njoo uwekeze
0716101434
picha hazitak ku upload
Kiongozi nitakutafuta mwisho wa mwezi wa 10.Nataka kama heka 5 mpaka 9ni uwekezaji mzuri ni kama umeweka pesa bank kwenye fixed account
mfano huku mufindi ekari moja utainunua kwa tsh900000 amoja na ardhi miti ikiwa na miaka6 so ekari moja ina miti600 baada ya miaka minne ijayo kila mti utauuza wastani tsh 7000
600*7000=4200000 kila ekari na unapanda tena njoo uwekeze
0716101434
picha hazitak ku upload
mkuu risk kuu ni moto tu ambao kwa kiasi kikubwa upo controlled ni nadra kutokea ila kila kiangazi ni lazima uweke fire line ambayo kwa ekari moja gharama ni sh elfu20 kusembua na kuichomandio maana nikasema uendeshaji wake upo vipi, gharama za uendeshaji risk za kutokupata kitu n.k. unajua bila risk hata kama faida ni elfu kumi kwa mwaka inakuwa sio mbaya yaani guaranteed ila kitu chenye risk ya kutokupata faida yake inabidi iwe maradufu ili ukipata ufidie pale ambapo haujapata
ndio mkuu mti wenye umri wa miaka kumi wenye uwezo wa kutoa kuanzia ubao wa1*8 hadi 2*6 kabla ya awamu hii tuliuza hadielfu15 awamu hii biashara mbovu tangu utawala huu ni elfu7 kushuka chiniMti unauzwa 7,000/=?
nitafute mkuu kuna baadhi ya plot nataka nizipunguze hutajutia kuwekeza wengi sana wanaifurahia fursa hii ila usikutane na madalali walioko huko dar ni waongo watakutajia bei kubwaKiongozi nitakutafuta mwisho wa mwezi wa 10.Nataka kama heka 5 mpaka 9
mkuu kupluni ni mwaka mmjoa tu mti ukiwa na miaka minne labda kufyekelea ni miaka miwili gharama haizidi elfu40 kwa kila ekari labda kama umeuziwa kiudalaliKuna kazi ya kulisafisha shamba (ku pluni miti) kila mwaka, hapo bado majanga ya moto
mzee hesabu ni simple na faida ni zaidi ya hiyo sema siyo vizuri kuwataja watu wakubwa waliowekeza kwenye miti huku mufindi nikikupa mifano unaweza usiku huu ukafunga safari kuja kuwekeza mkuuHizo hesabu ni rahisi kuliko uhalisia.
Yani niwekeze milioni moja ili nipate milioni 4 baada ya miaka 10. Uchumi haujafa kiasi hicho ntapambana na harakati nyingineni uwekezaji mzuri ni kama umeweka pesa bank kwenye fixed account
mfano huku mufindi ekari moja utainunua kwa tsh900000 amoja na ardhi miti ikiwa na miaka6 so ekari moja ina miti600 baada ya miaka minne ijayo kila mti utauuza wastani tsh 7000
600*7000=4200000 kila ekari na unapanda tena njoo uwekeze
0716101434
picha hazitak ku upload
watu tunapanda pine kwasababu ina soko upande wa mbao na wachina huihitaji viwandani mafingà mjini kwaajili ya kutengeneza ceiling board,bodobodo soko ni dogo kwaajili ya viberiti tu ila mikaratusi ni dili sana pia tunaiita solijina au milingoti hii hutumika kwaajili ya nguzo za umeme,milunda au fito hatupendi kuilima kwasababu ya jiografia ya mufindi ya milima na mabonde kuzivuta toka bondeni ni ngumu japo tunazipanda sehemu chache za tambarare na kando ya barabara hii inafaida sana karibuKati ya pine, bodo bodo na mikaratusi ipi yenye soko zuri? Kwann wengi hawapandi mikaratusi?
Kwa uzoefu wangu mti wa miaka kumi unatoa mbao 12. Kwa bei yako ya mti ni ndogo mno ingawa nazungumzia bei ya kanda ya ziwa ukondio mkuu mti wenye umri wa miaka kumi wenye uwezo wa kutoa kuanzia ubao wa1*8 hadi 2*6 kabla ya awamu hii tuliuza hadielfu15 awamu hii biashara mbovu tangu utawala huu ni elfu7 kushuka chini
ndo maana nikasema ni kama fixed unawekeza ukilenga watoto wako wakiwa advance or university au fikiria kila mwaka unawekeza ekari 5*4000000 utakapoanza kuvuna ni kila mwaka una uhakika wam20 kama kila mwaka uliweka eka tano mfululizo kwa mika letsay mitano uje pm nikupe mifano ya wakinga walio na magholofa mengi miti imewatoajeYani niwekeze milioni moja ili nipate milioni 4 baada ya miaka 10. Uchumi haujafa kiasi hicho ntapambana na harakati nyingine
ni sahihi mti wa miaka10 awamu iliyopita tuliza hadi elfu15 lakini nisidanganye usawa huu ujenzi umedorora sana hiyo ndo bei ya kuuzia shambani kwasasaKwa uzoefu wangu mti wa miaka kumi unatoa mbao 12. Kwa bei yako ya mti ni ndogo mno ingawa nazungumzia bei ya kanda ya ziwa uko
Iko hivi mkuu ukitaka usalama nunua shamba plain ambalo halijapandwa miti upa de mwenyewe au ulipe vibarua wakupandie. Uzuri wake ni kua kama shamba lina mgogoro ni rahisi kujua kabla hujaingia garama zaidi.600*7000=4200000 kila ekari na unapanda tena! Km ni hv why mnauza mashamba msisubirie kuvuna?
Wewe hutaki hizo M 20 kila mwaka hadi uje kututangazia hapa! Acheni kuficha mambo ili mkamate watu..ndo maana nikasema ni kama fixed unawekeza ukilenga watoto wako wakiwa advance or university au fikiria kila mwaka unawekeza ekari 5*4000000 utakapoanza kuvuna ni kila mwaka una uhakika wam20 kama kila mwaka uliweka eka tano mfululizo kwa mika letsay mitano uje pm nikupe mifano ya wakinga walio na magholofa mengi miti imewatoaje
Mkuu kumbe uko gharama za viwanja zina nafuu mno. Hongereni wenye nafasi hizoIko hivi mkuu ukitaka usalama nunua shamba plain ambalo halijapandwa miti upa de mwenyewe au ulipe vibarua wakupandie. Uzuri wake ni kua kama shamba lina mgogoro ni rahisi kujua kabla hujaingia garama zaidi.
Kununua shamba lililopandwa risk yake ni Kua mnaweza uziwa hata watu 4 bila kujuama maana kila mmoja ataenda kutembelea shamba kwa wakati wake mwishowe unakuta mwenye bahati kawahi kuuza
Pia shamba kupanda sio garama sana kama utanunua shamba kwa 250k plain ukapanda mwenyewe ambapo mche mmoja unauzwa 100 na kupanda mche mmoja ni sh 50 mpaka 60 utunze hadi miaka 6 uuze 900,000??
Huyu ni kishoka au dalali.ni uwekezaji mzuri ni kama umeweka pesa bank kwenye fixed account
mfano huku mufindi ekari moja utainunua kwa tsh900000 amoja na ardhi miti ikiwa na miaka6 so ekari moja ina miti600 baada ya miaka minne ijayo kila mti utauuza wastani tsh 7000
600*7000=4200000 kila ekari na unapanda tena njoo uwekeze
0716101434
picha hazitak ku upload