Wekeza Milioni 7 upate Milioni 20 ndani ya miezi 6

Soma vizuri umekurupuka
 
Mtoto wa mama kizimkazi negative mind ujui unachoongea niko field now naendelea kukusanya
 
Imewahi kunitokea puani. Umeongea ukweli mkuu.
 
Mtoto wa mama kizimkazi negative mind ujui unachoongea niko field now naendelea kk
Mazao ya kusafirisha yapo mengi, usikomae na mazao ya chakula ambayo bei zake hazikai juu muda mwingi.

Iliki,karafuu,mdalasini,pilipili zilizokaushwa unaweza ukasafirisha nje ya nchi na ukapata pesa kubwa zaidi
. Sie ndo biashara yetu hiyo kwa miaka 6 sasa na sijawahi pata hiyo faida . Eti ununue mpunga 30k uje uuze 100K. Ni fix juu ya fix. Hujui kitu kaka kuhus biashara. Hii biashara inategemea na itu vingi

Watz kwa kupenda kutoa ushauri ambao wao hawauishi? Kama ni kweli uza/weka dhamana kibanda chako upate mtaji si utapata hela kubwa ya faida ununue au ujenge kubwa zaidi? Za kuambiwa changanya na za kwako!
Niko site niko site mtanzania
 

Mkuu biashara haiko hivo, ingelikuwa hivo kila mtu agelikuwa Bilionea.

Wapi huko bei ya Junia la mpunga ni 30,000?
 
Aisee mbona natishika na ndio biashara nayojipanga kuanza kuifanya huko kanda ya ziwa.
 
Jomba acha kujifanya mkristo sana kuliko yesu kristo mwenyewe. Kwanini usitajirike kwanza wewe ili uje utuandikie uzi jinsi ulivyofanikiwa kwenye hiyo biashara? Kwanini unataka watu wengi wapate hizo milioni 20? Huoni mkiwa wengi sana sokoni bei itakuwa ndogo?
 
Aisee mbona natishika na ndio biashara nayojipanga kuanza kuifanya huko kanda ya ziwa.
Kanda ya ziwa => KAHAMA

Gunia la Mahindi ni: 60,000
Gunia la Mpunga ambao ni Super yaani mbeyenge ni 70,000 hadi 80,000
Gunia la Kalamata ni 50,000 hadi 60,000.

Kweny biashara hii usiingie kichwa kichwa, utapigwa za Uso, unatakiwa kuwa mzoefu sana au utafute mtu ambaye atakuongoza, la sivyo utauziwa chenga Babu.
 
Ahsante kwa muongozo mkuu mpaka sasa nnae mtu atakaenipa miongozo ila bado nafanya tafiti.
 
Uko mkowa gani, mimi taka kuja huko kujionea mwenyewe.
 
Biashara ya kuhifadhi Mazao , inafaida sana, ila kumbuka kusoma alama za nyakati ni zao Gani litapanda Bei sana mwaka husika, Kwa kufanya utafiti wa zao husika Hali ya mavuno Kwa mwaka huo?
Jee maeneo mengi wamevuna, , kama ni mpunga angalia maeneo ya Shinyanga , Rukwa, Katavi, Mbeya na Tunduru,. Bahi kama mavuno miakubwa Bei itachelewa ya kupandia.
Kama ni Mahindi fuatilia mikoa ya Ruvuma, Rukwa, SongweI. , Iringq, Kiteto, Kondoa kujuwa Hali ya mavuno ndio ufanye maamuzi ya kuhifadhi nafaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…