Streptokinase
JF-Expert Member
- Dec 13, 2018
- 276
- 436
July bei itashuka mkuu, sababu mavuno mapya ndio yataingia sokoniKufikia July mchele utakuwa aukamatiki mwaka huu mvua chache sana kwa baadhi ya mikoa majaruba mengi hayana maji mpk sasa na gunia la mpunga mpaka sasa lina 70k sasa sijui mpka july itakuaje