Streptokinase JF-Expert Member Joined Dec 13, 2018 Posts 276 Reaction score 436 Jan 27, 2025 #121 Babavos said: Kufikia July mchele utakuwa aukamatiki mwaka huu mvua chache sana kwa baadhi ya mikoa majaruba mengi hayana maji mpk sasa na gunia la mpunga mpaka sasa lina 70k sasa sijui mpka july itakuaje Click to expand... July bei itashuka mkuu, sababu mavuno mapya ndio yataingia sokoni
Babavos said: Kufikia July mchele utakuwa aukamatiki mwaka huu mvua chache sana kwa baadhi ya mikoa majaruba mengi hayana maji mpk sasa na gunia la mpunga mpaka sasa lina 70k sasa sijui mpka july itakuaje Click to expand... July bei itashuka mkuu, sababu mavuno mapya ndio yataingia sokoni