Shinikizo kwa Rostam Aziz aliyetoa Amri akamatwe ni kubwa huenda wakamwachia mda wowoteKwamba tayari ame achiwa!?
Shinikizo kwa Rostam Aziz aliyetoa Amri akamatwe ni kubwa huenda wakamwachia mda wowoteKwamba tayari ame achiwa!?
SubiriYaani Lissu ashambuliwe kwa risasi muda mfupi baada ya JPM kusema hadharani kua DAWA YA MTU WA HIVYO ASKARI HUWA WANAJUA NINI CHA KUFANYA,halafu baada ya shambulio CCTV CAMERA zikatolewa,JPM ambaye alikua ni amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchini asijue chochote?
Mbona unamdogosha Rais?
Anza wewe kupinga Utekaji mauaji uporaji Luzuku kuwabambikia kesi za uongo kwanzaNendeni mkapinge na hilo
What are these siasa za mihemko?siasa za mihemko
Yes friends of one's enemy is also an enemyAnaemtuma adui nae ni adui
Nani aliempiga Risasi kumbe?Ila aisikilize sauti yake ya ndani Kama alizani Magufuli ndo alimpiga risasi na akaitangazia dunia hivyo na Leo kaujua ukweli nadhani huko alipo jela anajuta Sana.
Nyie mnashabikia siasa Ila hamjui siasaWhat are these siasa za mihemko?
uko sahihi, hyu anataka kumtisha Lisu! Wahaya wanasema Ushujaa wa shoka ni Mpini wake ( shoka) kukatikia kwenye kisiki kigumu! (wakati wa harakati za kukingoa kisiki)Huyu ni Mumishi wa Mungu (NATURE) na ndio mlinzi wake na wala sio sisi wanadamu.
Kumbuka: JELA kwa mwanasiasa, ni kumuongezea CV kama ilivyo kwa mwanajeshi kushiriki vitani na kurudi salama.
Vijana wa pale Makumbusho na kiongozi wa operesheni hiyo alikuwa Paul Christian Makonda, aliyetoa amri ni dhalim aliyeko jehanam sasa hivi.Nani aliempiga Risasi kumbe?
Ila wewe ndo muoga?Lisu siyo muoga
Hata mumeoIla wewe ndo muoga?
🚮🚮🚮Pole Sana Kwa unayopitia na uliyopitia.
Najua utakuwa umepata mshangao mtu mwenye akili za juu Kama wewe kutumika kumshambulia the wrong enemy.
Hii ndo Ccm inaweza kumtumia yeyote yule kwa interest zake.
Kitu ambacho nakupa Kama ushauri wewe na wasaidizi wako make sure Una follow ur instinct usitumie tu akili ya kawaida tumia 6th sense .
Kama ambavyo ulipewa taarifa kuwa usiende Dodoma ukaenda n.k waliokupa huo ushauri walikuwa wanakupenda.
The art of war we love you TAL ukiamua kushambulia safari hii jitahidi ujue who is ur really enemy.
Atarudi kupitia mlango upi?TAL ngoja arudi you will be shocked na utakuwa mwisho wa kufanya siasa za mihemko
TAL ngoja arudi you will be shocked na utakuwa mwisho wa kufanya siasa za mihemko
Nani aliempiga risasi.Ila aisikilize sauti yake ya ndani Kama alizani Magufuli ndo alimpiga risasi na akaitangazia dunia hivyo na Leo kaujua ukweli nadhani huko alipo jela anajuta Sana.
Kumbuka: JELA kwa mwanasiasa, ni kumuongezea CV kama ilivyo kwa mwanajeshi kushiriki vitani na kurudi salama.📌🔨Huyu ni Mumishi wa Mungu (NATURE) na ndio mlinzi wake na wala sio sisi wanadamu.
Kumbuka: JELA kwa mwanasiasa, ni kumuongezea CV kama ilivyo kwa mwanajeshi kushiriki vitani na kurudi salama.
EVERTAL THE GREATEST
Hamjui adui yake uo ndo ukweliThis is an insult to Lisu! Kweli Lisu does not know who his real enemy is.