Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,616
- 14,106
Ndo mnao jua mseme adui yake ni nani ?Hamjui adui yake uo ndo ukweli
Ndo mnao jua mseme adui yake ni nani ?Hamjui adui yake uo ndo ukweli
Magufuli ndio alimligabriasasi.Ila aisikilize sauti yake ya ndani Kama alizani Magufuli ndo alimpiga risasi na akaitangazia dunia hivyo na Leo kaujua ukweli nadhani huko alipo jela anajuta Sana.
Naunga mkono hoja. Kuna uwezekanao yeye na anayedhani kuwa ni adui yake wana common enemy.Pole Sana Kwa unayopitia na uliyopitia.
Najua utakuwa umepata mshangao mtu mwenye akili za juu Kama wewe kutumika kumshambulia the wrong enemy.
Hii ndo Ccm inaweza kumtumia yeyote yule kwa interest zake.
Kitu ambacho nakupa Kama ushauri wewe na wasaidizi wako make sure Una follow ur instinct usitumie tu akili ya kawaida tumia 6th sense .
Kama ambavyo ulipewa taarifa kuwa usiende Dodoma ukaenda n.k waliokupa huo ushauri walikuwa wanakupenda.
The art of war we love you TAL ukiamua kushambulia safari hii jitahidi ujue who is ur really enemy.
Adui yake ni yeye mwenyewe asiejuwa anatumika vip kwa maslai ya nani hakuna kitu kibaya kama kuwa na uadui na mtu mwenye adui wengi wanaomviziaNdo mnao jua mseme adui yake ni nani ?
Kwa ujinga wake ameshachelewa. Angekuwa mwerevu asingetumika na wapumbavu wanaokenua meno Leo. Na labda tungeiona Tz bora sana Leo hii ikiwa na sehemu ya jasho lake na akili zake.Tusishangae Lissu akitoka akaenda kuisalimia familia ya Magufuli kule Chato.