Well done Jakaya Kikwete

Well done Jakaya Kikwete

Kumbe miccm mipumbavu kweli kweli, 2015 mlikuwa hampiti na mitisheti yenu ya njano Vs kijani kule kariakoo, mlikuwa mkizomewa na hiyo mitisheti yenu. JK is a great man, moyo mwema sana Ila wasn't a good president.
 
Mungu yu mwema sana. Yale mamitutu ya bunduki na walinzi mia nane hawakufua dafu mbele ya ziraili mmoja asiye na silaha...

Acheni Mungu aitwe Mungu...

Kazi iendelee
Yule bwana sijui ile roho yke ilkia ya namna gani. Kwa kweli tungekua nae na akajitwalia madaraka ya milele hili taifa lingezikwa rasmi. Kumbe mtu mmoja anaweza kuwateka watu 60 million. Watu wakaufyata bwana, hadi wazee wa chama.

Ila comment yako ni ya aina yake 😂 🤣

Hakika Mungu ni mkuu.
 
Kikwete aliharibu sana kipindi chake. Magufuli naye aliharibu sana kipindi chake. Mtihani ulio kwa mama Samia ni kutorudia makosa ya Kikwete na kutoendeleza makosa ya Magufuli.
Mama yetu ana mtihani mgumu,JK ndie mtu wa karibu,na amepitia mengi kama kiongozi, akini watu waliokuwa karibu na Magufuli akina Bashiru,Polepole wamepigwa chini.
Hata Professor Kabudi hayupo tena karibu na Raisi kama enzi za Magufuli.
Lakini tulio wengi tuna imani na Mama yetu kuongoza taifa letu.
 
Yule bwana sijui ile roho yke ilkia ya namna gani. Kwa kweli tungekua nae na akajitwalia madaraka ya milele hili taifa lingezikwa rasmi. Kumbe mtu mmoja anaweza kuwateka watu 60 million. Watu wakaufyata bwana, hadi wazee wa chama.

Ila comment yako ni ya aina yake 😂 🤣

Hakika Mungu ni mkuu.
Tuendelee kumshukuru Mungu kwa matendo yake makuu....

Labda anaweza kutufanyia wepesi na pale bungeni pia...

Mungu yu mwema daima
 
Back
Top Bottom