Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule bwana sijui ile roho yke ilkia ya namna gani. Kwa kweli tungekua nae na akajitwalia madaraka ya milele hili taifa lingezikwa rasmi. Kumbe mtu mmoja anaweza kuwateka watu 60 million. Watu wakaufyata bwana, hadi wazee wa chama.Mungu yu mwema sana. Yale mamitutu ya bunduki na walinzi mia nane hawakufua dafu mbele ya ziraili mmoja asiye na silaha...
Acheni Mungu aitwe Mungu...
Kazi iendelee
Mama yetu ana mtihani mgumu,JK ndie mtu wa karibu,na amepitia mengi kama kiongozi, akini watu waliokuwa karibu na Magufuli akina Bashiru,Polepole wamepigwa chini.Kikwete aliharibu sana kipindi chake. Magufuli naye aliharibu sana kipindi chake. Mtihani ulio kwa mama Samia ni kutorudia makosa ya Kikwete na kutoendeleza makosa ya Magufuli.
Tuendelee kumshukuru Mungu kwa matendo yake makuu....Yule bwana sijui ile roho yke ilkia ya namna gani. Kwa kweli tungekua nae na akajitwalia madaraka ya milele hili taifa lingezikwa rasmi. Kumbe mtu mmoja anaweza kuwateka watu 60 million. Watu wakaufyata bwana, hadi wazee wa chama.
Ila comment yako ni ya aina yake 😂 🤣
Hakika Mungu ni mkuu.
Hilo kabati vioo vimevunjika au macho yangu?
Alileta chuma baada ya yeye kuitwa dhaifuJK katuletea chuma! Ova!
Sisiem ikifa chadema nayo itakufa atazaliwa chadema chotara mchanganyiko wa sisiem na chadema na bila shaka vinasaba vya sisiem vitakua vingiMtaishi kwa amani siku ccm ikifa rasmi