Well done Jakaya Kikwete

Samia na kikwete ni ndugu mtoto wa mjomba mtoto wa shangazi...lao ni moja hao hiyo ya kusema "Samia na JPM ni kitu kimoja" ni kuwalaghai mazuzu.
 
Bila katiba mpya ya wananchi ni ile ile ni yale yale
Kikwete ni kweli uongozi wake ulikuwa umelegea kidogo lakini alikuwa afdhali kuliko Magufuli. Nadhani Samia atarekebisha ya Kikwete na ya Magufuli na kuwa rais bora zaidi kuliko wote wawili.
 
Ndio nini sasa umeandika we binti
Haya kaa kakae na mavi yako nyumbani-Magu.
We mama unataka kupanuliwa?-Magu.
Ningekua sijaoa ningeongeza mwanamke mweupe kama wewe-Magu.

Lakini mkuu Pslmp huyu jamaa umemchukia bure tu,hizo zote zilikuwa quotes za uliyemsifia hapo juu!

Usiwe mwepesi kusahau haya hayatasahaulika kamwe.
View attachment 1769363
 
Mama.e...hakuna watu wanafki dunian kama wa Tz...hahahahahah.dah.****.nina walah
 
CCM imetoka mbali; bila shaka nayo imebadilika sana!

Naona unaipa chapuo CCM ya Kikwete hapo, kwa hiyo naona ugumu sana kuamini kwamba kweli CCM uliyojiunga nayo 1977, ndiyo hiyo hiyo unayoishangilia sasa.

Usinielewe vibaya, sijakataa mabadiliko yanayoendana na nyakati tulizomo, lakini mabadiliko yanayoondoka kwenye misingi iliyokiasisi chama, sioni kuwa mabadiliko hayo ni kwa manufaa ya chama na watu wanaokitegemea chama hicho.

Nikupongeze kwa kuirudisha CCM yenu, lakini tafadhali usidai kwamba hiyo ndiyo CCM uliyojiunga nayo mwanzoni.
 
Kikwete huyu mtu bhana , daah Mungu ampe maisha marefu Sana Sana ... Nilimchukia Sana by 2015 Ila Kwa sasa nimeona thamani yake kabisa kabisa.. sometimes huwa tunajifunza Kwa Gharama kubwa Sana
Hongera,nimependa sana komenti yako
 
Kikwete huyu mtu bhana , daah Mungu ampe maisha marefu Sana Sana ... Nilimchukia Sana by 2015 Ila Kwa sasa nimeona thamani yake kabisa kabisa.. sometimes huwa tunajifunza Kwa Gharama kubwa Sana
Imenibidi nicheke kidogo, kwani hiyo 2015 tulikuwa kwenye chungu kile kile kwa pamoja.
Sasa nikiwaza sehemu hiyo ya pili ya mawazo yako, inabidi nikuulize, si ndiyo huyo huyo aliyeibua aliyekuletea huyo aliyekufanya uone ulichokuwa umekikosa katika miaka mitano iliyofuata? Au yeye hakuwa na mchango katika hilo!
 
Duh, kwa maana hiyo unasema CCM ina wenyewe... Sura/damu mpya hazitakiwi. Kwa hiyo wale waliopata uongozi from 2016 warudishe kadi zao wawaachie kina Ridhiwani, January, Nnape, Lazoro et al.
 
JK katuletea chuma! Ova!
 
BAADAE TUTARUDI TU KWENYE SIFA ZA MWANACHAMA AWEZAYE KUGOMBEA NAFASI NDANI YA CHAMA,HATUWEZI TU KUOKOTA WATU WASIOKIJUA CHAMA WALA ITIKADI ZAKE THEN TUKAWARUHUSU KIHOLELA KUSHIKA NAFASI NDANI YA CHAMA CHETU,REKODI YA MTU PAMOJA NA UTUMISHI WAKE NDANI YA CHAMA KWA NAFASI YOYOTE ILE AMBAYO MWANACHAMA ATAKUWA AMEITUMIKIA IKIWA NI PAMOJA NA UHAI WA UANACHAMA WAKE YAANI ASIWE MWANACHAMA MFU ASIYELIPIA KADI YAKE YA CHAMA HUYO ATAPEWA KIPAUMBELE LAKINI PIA REKODI HAPA NASISITIZA SANA MAANA REKODI NDIO UHALISIA WENYEWE WA KIUTENDAJI.
 
Prof. Mwandosya alitoa hilo angalizo, akabezwa!
 
CCM ni principles na imani ya misingi yake.
Majadiliano tuliyoyaona ndiyo CCM tunayoifahamu.
CCM FAKE ile ya kuchagua wapinzani kuiendesha, visasi, na kufanyiziana tumeona ukomo wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…