Well done Jakaya Kikwete

Well done Jakaya Kikwete

Tanzania kwanza. Mengine baadae. Tusipofikiria ukubwa wa Tanzania yetu, kwa kuweka mbele ukabila, udini na hata makundi yenye milengo ya kujibinafsisha yenyewe kwanza, tutapoteza tunu za nchi yetu. Nchi yetu lazima tuipenfa na kuitendea haki sisi wenyewe.
kwake huyo ccm ni bora kuliko kitu chochote.

hapa ndipo taifa lilikiwa limefika 2015,tunaendelea kuanzia hapo.
 
Ngoma droo!!

Tupo tunaoamini mpaka Leo, kikwete hawezi kabisa kuifanya nchi ikaheshimika hata kidogo, afanyeafanyavyo,amebarikiwa tu kuwa na moyo wa kupuuza mambo, lakini kuiongozi ni zero kabisa

Siwezi kusahau kipindi chake, ilikuwa ni hovyo tu, hakuna la maana, la maana ni Kwa hao waliofaidika na safari zake
Mtatoa milio ya kila aina, bundi sio bundi, mbwa koko sio mbwa koko, nguchiro sio nguchiro na nguruwe sio nguruwe.
 
Jakaya Kikwete sasa hivi tunaweza kusema is a seasoned politician.

Amepitia mengi, mazuri na mabaya.

Ingawaje urais wake watu walidiriki kumwita ati dhaifu, ndani ya hii miaka mitano wananchi wameona maana ya uvumilivu wa Kikwete.

Nampongeza sana Kikwete vile vile kwa kumpigia tafu Mama Samia, dhidi ya makundi hasi, mengine yakiwa na sura ya kikabila.

Sisi wana CCM long time tunashukuru kuwa sasa chama kinarudi kwa wenye chama ambao wengine ni waasisi.

Mimi kadi yangu ni ya 1977.

Waliingizwa watu ambao wengine wametoka vyama vya upinzani na kuwaacha makada halisi.

Hongera Jakaya Mrisho Kikwete.
Huyo Kikwete si yeye aliyejitapa kawaletea chuma, mzigo mzito mpe Mnyamwezi?

Leo unataka kumfanya kama si sehemu ya mfumo uliomuweka Magufuli?
 
Mwanzisha thread ni mbinafsi. Haya mambo ya ma-vyama yanaiangamiza Tanzania. Tunatakiwa tubadili mfumo kabisa na wanasiasa wapungue sana kwenye uongozi. Pia siasa ipunguwe. Utaalam na taalaum ndiyo ziwe- incharge. Itakuwa vizuri zaidi kama serikali itaundwa kulingana na idadi ya kura walizopata
Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu.

Mama anakuja huko huko unakokutaka mkuu. Kaa kwa kutulia katiba mpya iko njiani
 
Back
Top Bottom