Well done Rais Samia

Hujajibu swali!
Mifano please.
Utopia kila mtu anaweza!
 
Kwanza hujajibu swali: ulifaidika na mfumo wa mwendazake?

Pili, nipe link za mawazo yako kutetea basic principles za Utawala Bora katika Awamu iliyopita.
Ha ha haaaa! Majibu yamo kwenye hilo bandiko langu ulilonukuu mara ya pili.
 
Hakuna swali lolote ulilouliza. Sana sana ume-justfy kuwa Tanzania ime-fail kwa kuwa iko Afrika!
Ukiwa thinker lazima uwe precise and concise.
Pitia pot no 58.
Na narudia , tupe mrejesho wa mfano katika Afrika kwa yale unayotetea, tofauti na tunacho experience Tanzania.
And mind you, its NOT justification.
 
Jana Azam UTV kulikuwa na kipindi cha mwaka mmja wa Rais,miongoni mwa wageni waalikwa walikuwa Mkurugenzi mkuu wa psssf,CeO wa RUWASA,CEO wa bodi ya mikopo na mtendaji mkuu wa NIDA..

Hawa wote walionyesha utofauti wa hapo awali na Sasa.

Mtu wa RUWASA alisema ndani ya mwaka mmja wa Samia wamepata chanzo cha uhakika cha pesa na Kwa mwaka huo mmja wamepeleka maji Vijijini yenye kuhudumia watu zaidi ya mil.3,000,000.

Alizungumza mengi mafanikio lakini kubwa zaidi ni kuanza ujenzi wa Bwawa la kidunda Ili Dar isijepata shida ya maji kukitokea upungufu.Toka uhuru zilikuwa story sio vitendo.

NIDA walisema toka 2015 walivyoundwa walichapisha vitambulisho mil.6 tuu ila mama kaupiga mwingi kawapa pesa wakanunua mitambo mipya kiasi kwamba ndani ya mwaka mmja wamechapisha vitambulisho mil.3 hivyo kabla ya 2025 watu wote wenye namba za mida watakuwa na vitambulisho.

Psssf alisema kwamba Serikali imewadhamini na Sasa wamelipiwa karibu nusu ya madeni yote yaliyowakwamisha hapo awali na Sasa wanauwezo wa kutoa mafao bila kuchelewa Sana kama hapo awali.

On top of that walisema miradi yao ya majengo iliyokosa wateja hapo awali na kukwama sasa Hali inabadilika wameanza kupata wateje tena baada ya uchumi kufunguka.

Kwa upande wa bodi ya mikopo ukiacha kuongezeka kwa namba na wigo kwa wanufaika,kufutwa kwa retention money nk wanapigia upya utaratibu wa mikopo na watakuja na structure nzuri itakayowanufaisha hata watu wa scholarships na watu wa vyuo vya Kati,haya ni maelekezo ya Rais..

Huo ndio ukweli licha ya changamoto,Samia anaupiga mwingi San na tunamuombea,ukienda sekta zote utakuta kila kitu kinasoma positive.
 
Wale waloingia utumishi Awamu ya 5 kwa upendeleo, ukabila na hata wabambikaji na watekaji hawalioni hilo la utendaji mzuri wa Mama.
 
Ukiwa thinker lazima uwe precise and concise.
Pitia pot no 58.
Na narudia , tupe mrejesho wa mfano katika Afrika kwa yale unayotetea, tofauti na tunacho experience Tanzania.
And mind you, its NOT justification.
Hii ndiyo nimekuambia ni narrow thinking mind! Unase-suggest kuwa kwa kuwa Afrika hakuna nchi ya mfano basi uozo wa Tanzania ni halali! Ni ujinga wa hali ya juu! Inaonekana wewe ni hawa viongozi waliooza kichwani wanaojaribu kutafuta visingizia visivyo na maana yoyote. Afrika ziko nchi nyingi zilizo mbele kuliko sisi lakini sitaki kuingia kwenye uendawazimu wa ku-justify kuwa tukubali uongozi mbovu kwa sababu tuko Afrika. This is too low!
 
Kwa kweli watu wanapumua katka uongozi wake;ila ningemsihi hili la katiba mpya litampaisha zaidi kama hatalizuia na anaweza kuendelela hata baada ya uchaguzi 2025 isipokuwa wabunge wengi watatoka upinzani kwa ridhaa ya wananchi.Kwa sababu waliopo ndo wametufikisha hapa.Hatutasahau mikataba ile iliyopitishwa bila kusikiliza hoja toka upinzani na hoja nyinginezo kwa masilahi ya wananchi
 
Mkuu unatemea mate juu na kubaki hapo hapo and wish you had an alternative prescribed by somebody else.

Whatever "new" thinking ambayo unayo inakufaa wewe na mkeo na familia yako.
Hii ni kwa sababu huna jipya vile vile zaidi ya kuwaza ya kufikirika, na ambayo yako kichwani mwako.

Hapo tunakupa pole na in the meanwhile mama Samia ana negate uozo ulionza kuota mizizi.
Ninyi na pro mwendazako mliofaidika na status quo ya yule phsychiatric case mnaweweseka msijue la kufanya.
 
Sikufaidika na utawala wa Magufuli. Nafaidika kwa bidii yangu ya kazi halali. Unajaribu ku-deviate kutoka kwenye mada kwa sababu umeona huna hoja. Unapiga vigelele kushangilia mtu ambaye hajafanya chochote cha maana badala kusimamia ukweli. Nyie ndiyo mnafanya wanasiasa wanalewa sifa na kushindwa kufanya chochote cha maana. Magufuli alikuwa despot leader hili halina ubishi hata kidogo. Lakini mama Samia bado hajaonyesha nia ya kurekebisha tatizo. Ndipo hapo hoja yangu ilipo.
 
Msumari unakuingia kisawasawa.
Impossible kuwa anti Magu.
Ninyi ndo 5th Columnist katika utawala wa Mama Samia.
Mlikula ya ukabila utesaji na ukabila na hata utekaji nyara na upendeleo wa vyeo.
Sasa kimeanza kueleweka.

Kununa mnataka lakini inabidi muweke tabasamu za plastiki ili msitimuliwe, you cant disguise yerself.

Mpo wengi bro.....vumilia, yule jamaa kafa!!
 
Haa haa haa. Ama kweli ukishindwa hoja unakuwa kihoja! Uliza members hapa ndiyo ujue upi ulikuwa msimamo kwangu kwa Magu. Au pia unaweza ku search posts zangu za nyuma. Sasa kama mimi unasema nilikuwa pro Magu niyefaidika na ushenzi wake rais Samia ambaye alikuwa makamu utamweka kwenye kundi gani? Huoni unaji-contradict mwenyewe?
 
Imekula kwako mkuu.
Tafuta mwamvuli.
 
Asante mkuu.
Kuna watu wanafiki wako humu na walikuwa wabakaji, watekaji, wabambikaji na generally anti social.
Wameumia sana na mafanikio ya mama Samia.
Utawajua tu.
 
Mkuu aidha wewe si moto au baridi.
Mtu wa Magufuli wewe.
Muuaji shwine!
Mlilipwa kiasi gani kuua?
 
Ingebidii uhamie sayari ya Mars ukapate maisha bora
 
Spin doctors wa Magufuli.
Anadai yuko uchumi wa kati halafu alishindwa kumalizia mradi wa SGR hata awamu moja ya Dar-Moro!
Umeandika utopolo mwiiingi.
Nikuulize tu, hivi ulitekwa au?
Mwanzoni pesa ilitengwa SGR diesel locomotive Dar Moro kama ya Kenya, mara Mjomba Magu akataka treini ya mwendokasi ya umeme. Mara akaongezea Moro -Makutopora.
 
Mwanzoni pesa ilitengwa SGR diesel locomotive Dar Moro kama ya Kenya, mara Mjomba Magu akataka treini ya mwendokasi ya umeme. Mara akaongezea Moro -Makutopora.
Bila ushirikishi wa watu jamaa alikuwa akiamka asubuhi anakuwa na mambo kivyake vyake.
 
Imekula kwako mkuu.
Tafuta mwamvuli.
Una akili kama za Makonda. Makonda ndiye aliyekuwa anawatumia polisi kufanya mambo kinyume na sheria lakini baada ya cheo kuisha analalamikia polisi hao hao kwa mambo yale yale aliyokuwa anawatumia kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…