Well done Rais Samia

Well done Rais Samia

Una akili kama za Makonda. Makonda ndiye aliyekuwa anawatumia polisi kufanya mambo kinyume na sheria lakini baada ya cheo kuisha analalamikia polisi hao hao kwa mambo yale yale aliyokuwa anawatumia kufanya.
Debe tupu huwa haliachi kutika!
 
Back
Top Bottom