masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Debe tupu huwa haliachi kutika!Una akili kama za Makonda. Makonda ndiye aliyekuwa anawatumia polisi kufanya mambo kinyume na sheria lakini baada ya cheo kuisha analalamikia polisi hao hao kwa mambo yale yale aliyokuwa anawatumia kufanya.