Well done Rais Samia

Well done Rais Samia

Usijichanganye na kujitia hujui, yule jamaa alikuwa Mirembe case, nawe unajua hilo.
Umeelewa nilichoandika? Mimi Magufuli nilikuwa simuungi mkono hata kidogo. He was exercising depostism at the highest level. Swali langu liko pale pale: tunashangalia nini wakati bado tatizo la mfumo liko pale pale! Mbona tunakuwa na yale manyani ambayo mvua ikinyesha yanajikunyata na kuguna huku yakiahidi kesho ni lazima yajenge nyumba lakini ikifika asubuhi mvua ikiisha yanashangalia na kusahau kila kitu? Mama Samia bado kabisa hajafanya jambo linaloni-convince kuwa amelijua tatizo letu na anataka kulibadilisha. Nyie badala ya kuona ukweli mnaanza kupiga vigelele kama kawaida!
 
Samia bado hajagusa chochote.
 
Tar 17 March iwe siku ya Mapumziko. Kukumbuka siku tulipopata uhuru tena...
Kabisa mkuu. Haya mambo huwa yanaacha makovu ndani ya mioyo ya watu. Kuna wakati mtu anaweza kufanya mambo hypocritically hasa akiwa anapata upande unaomsapoti. Tarehe 17 march ya kila mwaka inatakiwa tupumzike. "The other Uhuru day"
 
Umeelewa nilichoandika? Mimi Magufuli nilikuwa simuungi mkono hata kidogo. He was exercising depostism at the highest level. Swali langu liko pale pale: tunashangalia nini wakati bado tatizo la mfumo liko pale pale! Mbona tunakuwa na yale manyani ambayo mvua ikinyesha yanajikunyata na kuguna huku yakiahidi kesho ni lazima yajenge nyumba lakini ikifika asubuhi mvua ikiisha yanashangalia na kusahau kila kitu? Mama Samia bado kabisa hajafanya jambo linaloni-convince kuwa amelijua tatizo letu na anataka kulibadilisha. Nyie badala ya kuona ukweli mnaanza kupiga vigelele kama kawaida!
Mfumo wowote ule unategemea kiongozi wa mfumo huo.
Hakuna mfumo wenye kuleta matukio chanya au hasi automatically.

Mfumo wetu huu huu umetuletea Mwinyi, Mkapa , Kikwete , Magufuli na Samia.
Awamu ya Tano tuliamua kumchagua Mirembe case, cha moto tumekiona.

Mama Samia tupende tusipende ni kiongozi wa mfumo uliopo.
Kwa msimamo na muelekeo hata mtu mbumbumbu anakiri kuwa ni far better kuliko mtangulizi wake, na tena ni katika mambo ya kawaida kabisa na ushirikishi.
Hivi unahitaji mfumo kumzuia kiongozi wa nchi kumtukana mwananchi ati asije na mavi yake?

Suala hapa ni kuvurunda vibaya kwa chama tawala CCM kutuletea Mirembe case.
 
ccm mnaendelea kukizika chama chenu kwa kuendekeza ujinga badala ya akili!
Kila kukicha hongera mama Samia badala ya kusema hongera serikali ya ccm!
Samia hana sera zake bali anatekeleza sera za ccm, amkeni enyi watu!

Usimuamshe aliye lala.....
 
ccm mnaendelea kukizika chama chenu kwa kuendekeza ujinga badala ya akili!
Kila kukicha hongera mama Samia badala ya kusema hongera serikali ya ccm!
Samia hana sera zake bali anatekeleza sera za ccm, amkeni enyi watu!
Magufuli na utekaji, ubambikaji kesi za uhujumu, upendeleo, ukabila, wizi wa 1.5 Tril, alikuwa anatekeleza siasa na sera zipi za CCM?
 
Sasa hivi kiukweli watanzania wan furaha isiyofichika.
Hata BBC wamekubali hivyo.
Kuna wakati Watanzania walidaiwa kutokuwa na furaha na hata BBC walisema hivyo lakini baadhi hawakuafiki na badala yale taarifa za vyombo vya nje vililaumiwa kwa kueneza uongo dhidi ya utawala wa CCM, hapa kazi tu!
"If a happiness index was taken within the last few weeks, it would have shown Tanzanians to be the happiest people in the world, according to some Tanzanians on social media."
Sidhani kama umesoma, ukatafakari na kuelewa maana ya kilichoandikwa...katika wiki za karibuni kama furaha ingepimwa kupitia maoni ya baadhi ya Watanzania mitandaoni, nchi hii ingeshika nafasi ya kwanza duniani kwa watu kuwa wake wenye furaha tele! Really?
kazi inaendelea

Ref : BBC

BBC ile ile, Watu wale wale (Rais alikuwa makamu wa Rais), chama kile kile, sera zile zile! Kazi ikaendelea...wakamfunga Mbowe, wakamfungulia Mbowe, polisi wale wale, waendesha mashtaka wale wale, taratibu zile zile, kanuni zile zile, sheria zile zile na KATIBA ILE ILE!
 
Mkuu nawe mmoja wapo ulikuwa juu ya sheria?
Mara zote mimi ni muumini wa Afrika yenye amani, inayopiga hatua kimaendeleo na ustawi, na utulivu huku nikiheshimu na kutekeleza taratibu zote tulizokubaliana kuzifuata zikiwamo na sheria! Mimi ni mwafrika wa Tanzania.
 
Mfumo wowote ule unategemea kiongozi wa mfumo huo.
Hakuna mfumo wenye kuleta matukio chanya au hasi automatically.

Mfumo wetu huu huu umetuletea Mwinyi, Mkapa , Kikwete , Magufuli na Samia.
Awamu ya Tano tuliamua kumchagua Mirembe case, cha moto tumekiona.

Mama Samia tupende tusipende ni kiongozi wa mfumo uliopo.
Kwa msimamo na muelekeo hata mtu mbumbumbu anakiri kuwa ni far better kuliko mtangulizi wake, na tena ni katika mambo ya kawaida kabisa na ushirikishi.
Hivi unahitaji mfumo kumzuia kiongozi wa nchi kumtukana mwananchi ati asije na mavi yake?

Suala hapa ni kuvurunda vibaya kwa chama tawala CCM kutuletea Mirembe case.
Unaangalia mambo in a very narrow angle ndiyo maana. Ndiyo maana hujui kuwa mfumo unaweza kumzuia kiongozi kutukana. Ha huu mfumo umetuletea viongozi wabovu kama hawa uliwataja. Na huu mfumo ndiyo umefanya baadhi ya wananchi wawe na upeo mfupi kama unavyoonyesha hapa!
 
Mama Samia namkubali sana,Jiwe ametupitisha kwenye maisha ambayo hatujawahi kuhisi kama tutayaonja,alikuwa Mtu KATILI sana,hakuwahi kujali thamani ya binadamu yeyoye,aliongozwa na roho chafu mpaka watu wengi watumishi wakalazimika nao kuwa na roho mbaya sana kufuata chanel yake.
Mtu aliyeona haki ya kuishi ni yake,mkewe na watoto wake au marafiki walamba miguu,hakuwa ni tegemeo la dalili za faraja bali ukatili,sijui ana asili ya Taifa gani la Afrika,Aendelee Kulala Anapostahili.
 
Kuna wakati Watanzania walidaiwa kutokuwa na furaha na hata BBC walisema hivyo lakini baadhi hawakuafiki na badala yale taarifa za vyombo vya nje vililaumiwa kwa kueneza uongo dhidi ya utawala wa CCM, hapa kazi tu!

Sidhani kama umesoma, ukatafakari na kuelewa maana ya kilichoandikwa...katika wiki za karibuni kama furaha ingepimwa kupitia maoni ya baadhi ya Watanzania mitandaoni, nchi hii ingeshika nafasi ya kwanza duniani kwa watu kuwa wake wenye furaha tele! Really?
kazi inaendelea

BBC ile ile, Watu wale wale (Rais alikuwa makamu wa Rais), chama kile kile, sera zile zile! Kazi ikaendelea...wakamfunga Mbowe, wakamfungulia Mbowe, polisi wale wale, waendesha mashtaka wale wale, taratibu zile zile, kanuni zile zile, sheria zile zile na KATIBA ILE ILE!

Pengine huelewi kwa nini Watanzania wengi wamejawa na furaha, hata kama mfukoni hakuna kitu.

"Those who deny freedom to others deserve it not for themselves; and under the rule of a just God, cannot long retain it."

-Abraham Lincoln
 
Umesahau nani walihusika na operation ya bureau de Change Arusha na biashara ya serikali kukusanya Korosho kusini mwaka 2018.
Watu ni wepesi wa kusahau.JWTZ ndiyo huwa inatangaza kufanya usafi siku ambazo wametangaza kufanya maandamano.Tanzania hakuna chombo Cha mabavu ambacho hakitumiwi na serikali kuwatisha raia.
 
Mama Samia namkubali sana,Jiwr ametupitisha kwenue maisha ambayo hatuwahi kuhisi kama tutayaonja,alikuwa Mtu KATILI sana,hakuwahi kujali thamani ya binadamu yeyoye,aliongozwa na roho chafu mpaka watu wengi watumishi wakalazimika nao kuwa na roho mbaya sana kufuata chanel yake.
Mtu aliyeona haki ya kuishi ni yake,mkewe na watoto wake au marafiki walamba miguu,hakuwa ni tegemeo la kajli za faraja bali ukatili,sijui ana asili ya Taifa gani la Afrika,Aendelee Kulala Anapostahili.
Waliofaidika huwa hawalioni hili.
Hongera mkuu.
 
Taifa ambalo linaongozwa na Paka ambalo muda wote lipo busy kudanganya uma ni Taifa la laana🐒🐒🐒
 
Miaka mitano yote hakukuwa na zuri hata Moja!
Yalikuwepo mazuri lakini mengi hayakufuata utaratibu wa kikatiba na sheria.
Mfano ni mradi w Stieglers Hydro power project.
Haukupita bungeni hata kama ni mzuri.
 
Unaangalia mambo in a very narrow angle ndiyo maana. Ndiyo maana hujui kuwa mfumo unaweza kumzuia kiongozi kutukana. Ha huu mfumo umetuletea viongozi wabovu kama hawa uliwataja. Na huu mfumo ndiyo umefanya baadhi ya wananchi wawe na upeo mfupi kama unavyoonyesha hapa!
Mkuu mwenye mawazo mapana, tupe mfano wa upana wa mawazo yako hapa Afrika.
Nadharia na utopian thinking kila mtu anaweza.
 
Mara zote mimi ni muumini wa Afrika yenye amani, inayopiga hatua kimaendeleo na ustawi, na utulivu huku nikiheshimu na kutekeleza taratibu zote tulizokubaliana kuzifuata zikiwamo na sheria! Mimi ni mwafrika wa Tanzania.
Kwanza hujajibu swali: ulifaidika na mfumo wa mwendazake?

Pili, nipe link za mawazo yako kutetea basic principles za Utawala Bora katika Awamu iliyopita.
 
Mkuu mwenye mawazo mapana, tupe mfano wa upana wa mawazo yako hapa Afrika.
Nadharia na utopian thinking kila mtu anaweza.
Sasa unafananisha failure na failure? Nchi yetu ina resourses nyingi sana na haikutakiwa kuwa hivi. Tatizo la watanzania wengi ni ubinafsi. Kiongozi atakayemwachia mianya ya kufanya biashara zenye makandokando anasifiwa. Wewe kilichokufanya uone Magufuli ni mbaya ni kwa sababu alivuruga kula yako na si vinginevyo. Sisi wengine maisha yetu pengine yalikuwa mazuri zaidi lakini hatukumpenda kwa sababu alikuwa authoritarian and killer!
 
Back
Top Bottom