Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #41
Chui huwa habadiliki madoa yake.Mkuu nawe mmoja wapo ulikuwa juu ya sheria?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chui huwa habadiliki madoa yake.Mkuu nawe mmoja wapo ulikuwa juu ya sheria?
Umeelewa nilichoandika? Mimi Magufuli nilikuwa simuungi mkono hata kidogo. He was exercising depostism at the highest level. Swali langu liko pale pale: tunashangalia nini wakati bado tatizo la mfumo liko pale pale! Mbona tunakuwa na yale manyani ambayo mvua ikinyesha yanajikunyata na kuguna huku yakiahidi kesho ni lazima yajenge nyumba lakini ikifika asubuhi mvua ikiisha yanashangalia na kusahau kila kitu? Mama Samia bado kabisa hajafanya jambo linaloni-convince kuwa amelijua tatizo letu na anataka kulibadilisha. Nyie badala ya kuona ukweli mnaanza kupiga vigelele kama kawaida!Usijichanganye na kujitia hujui, yule jamaa alikuwa Mirembe case, nawe unajua hilo.
Samia bado hajagusa chochote.Umeelewa nilichoandika? Mimi Magufuli nilikuwa simuungi mkono hata kidogo. He was exercising depostism at the highest level. Swali langu liko pale pale: tunashangalia nini wakati bado tatizo la mfumo liko pale pale! Mbona tunakuwa na yale manyani ambayo mvua ikinyesha yanajikunyata na kuguna huku yakiahidi kesho ni lazima yajenge nyumba lakini ikifika asubuhi mvua ikiisha yanashangalia na kusahau kila kitu? Mama Samia bado kabisa hajafanya jambo linaloni-convince kuwa amelijua tatizo letu na anataka kulibadilisha. Nyie badala ya kuona ukweli mnaanza kupiga vigelele kama kawaida!
Kabisa mkuu. Haya mambo huwa yanaacha makovu ndani ya mioyo ya watu. Kuna wakati mtu anaweza kufanya mambo hypocritically hasa akiwa anapata upande unaomsapoti. Tarehe 17 march ya kila mwaka inatakiwa tupumzike. "The other Uhuru day"Tar 17 March iwe siku ya Mapumziko. Kukumbuka siku tulipopata uhuru tena...
Mfumo wowote ule unategemea kiongozi wa mfumo huo.Umeelewa nilichoandika? Mimi Magufuli nilikuwa simuungi mkono hata kidogo. He was exercising depostism at the highest level. Swali langu liko pale pale: tunashangalia nini wakati bado tatizo la mfumo liko pale pale! Mbona tunakuwa na yale manyani ambayo mvua ikinyesha yanajikunyata na kuguna huku yakiahidi kesho ni lazima yajenge nyumba lakini ikifika asubuhi mvua ikiisha yanashangalia na kusahau kila kitu? Mama Samia bado kabisa hajafanya jambo linaloni-convince kuwa amelijua tatizo letu na anataka kulibadilisha. Nyie badala ya kuona ukweli mnaanza kupiga vigelele kama kawaida!
ccm mnaendelea kukizika chama chenu kwa kuendekeza ujinga badala ya akili!
Kila kukicha hongera mama Samia badala ya kusema hongera serikali ya ccm!
Samia hana sera zake bali anatekeleza sera za ccm, amkeni enyi watu!
Magufuli na utekaji, ubambikaji kesi za uhujumu, upendeleo, ukabila, wizi wa 1.5 Tril, alikuwa anatekeleza siasa na sera zipi za CCM?ccm mnaendelea kukizika chama chenu kwa kuendekeza ujinga badala ya akili!
Kila kukicha hongera mama Samia badala ya kusema hongera serikali ya ccm!
Samia hana sera zake bali anatekeleza sera za ccm, amkeni enyi watu!
Kuna wakati Watanzania walidaiwa kutokuwa na furaha na hata BBC walisema hivyo lakini baadhi hawakuafiki na badala yale taarifa za vyombo vya nje vililaumiwa kwa kueneza uongo dhidi ya utawala wa CCM, hapa kazi tu!Sasa hivi kiukweli watanzania wan furaha isiyofichika.
Hata BBC wamekubali hivyo.
Sidhani kama umesoma, ukatafakari na kuelewa maana ya kilichoandikwa...katika wiki za karibuni kama furaha ingepimwa kupitia maoni ya baadhi ya Watanzania mitandaoni, nchi hii ingeshika nafasi ya kwanza duniani kwa watu kuwa wake wenye furaha tele! Really?"If a happiness index was taken within the last few weeks, it would have shown Tanzanians to be the happiest people in the world, according to some Tanzanians on social media."
BBC ile ile, Watu wale wale (Rais alikuwa makamu wa Rais), chama kile kile, sera zile zile! Kazi ikaendelea...wakamfunga Mbowe, wakamfungulia Mbowe, polisi wale wale, waendesha mashtaka wale wale, taratibu zile zile, kanuni zile zile, sheria zile zile na KATIBA ILE ILE!Ref : BBC
![]()
Tanzania viewpoint: What President Samia has achieved in her first year
After years of authoritarian rule, there are signs of change under the country's first female leader.www.bbc.com
Mara zote mimi ni muumini wa Afrika yenye amani, inayopiga hatua kimaendeleo na ustawi, na utulivu huku nikiheshimu na kutekeleza taratibu zote tulizokubaliana kuzifuata zikiwamo na sheria! Mimi ni mwafrika wa Tanzania.Mkuu nawe mmoja wapo ulikuwa juu ya sheria?
Unaangalia mambo in a very narrow angle ndiyo maana. Ndiyo maana hujui kuwa mfumo unaweza kumzuia kiongozi kutukana. Ha huu mfumo umetuletea viongozi wabovu kama hawa uliwataja. Na huu mfumo ndiyo umefanya baadhi ya wananchi wawe na upeo mfupi kama unavyoonyesha hapa!Mfumo wowote ule unategemea kiongozi wa mfumo huo.
Hakuna mfumo wenye kuleta matukio chanya au hasi automatically.
Mfumo wetu huu huu umetuletea Mwinyi, Mkapa , Kikwete , Magufuli na Samia.
Awamu ya Tano tuliamua kumchagua Mirembe case, cha moto tumekiona.
Mama Samia tupende tusipende ni kiongozi wa mfumo uliopo.
Kwa msimamo na muelekeo hata mtu mbumbumbu anakiri kuwa ni far better kuliko mtangulizi wake, na tena ni katika mambo ya kawaida kabisa na ushirikishi.
Hivi unahitaji mfumo kumzuia kiongozi wa nchi kumtukana mwananchi ati asije na mavi yake?
Suala hapa ni kuvurunda vibaya kwa chama tawala CCM kutuletea Mirembe case.
Miaka mitano yote hakukuwa na zuri hata Moja!Hakika nchi imepitia kipindi cha mambo mengine mazuri, mengine mabaya na mengine yanatisha.
Kuna wakati Watanzania walidaiwa kutokuwa na furaha na hata BBC walisema hivyo lakini baadhi hawakuafiki na badala yale taarifa za vyombo vya nje vililaumiwa kwa kueneza uongo dhidi ya utawala wa CCM, hapa kazi tu!
Sidhani kama umesoma, ukatafakari na kuelewa maana ya kilichoandikwa...katika wiki za karibuni kama furaha ingepimwa kupitia maoni ya baadhi ya Watanzania mitandaoni, nchi hii ingeshika nafasi ya kwanza duniani kwa watu kuwa wake wenye furaha tele! Really?
kazi inaendelea
BBC ile ile, Watu wale wale (Rais alikuwa makamu wa Rais), chama kile kile, sera zile zile! Kazi ikaendelea...wakamfunga Mbowe, wakamfungulia Mbowe, polisi wale wale, waendesha mashtaka wale wale, taratibu zile zile, kanuni zile zile, sheria zile zile na KATIBA ILE ILE!
Watu ni wepesi wa kusahau.JWTZ ndiyo huwa inatangaza kufanya usafi siku ambazo wametangaza kufanya maandamano.Tanzania hakuna chombo Cha mabavu ambacho hakitumiwi na serikali kuwatisha raia.Umesahau nani walihusika na operation ya bureau de Change Arusha na biashara ya serikali kukusanya Korosho kusini mwaka 2018.
Waliofaidika huwa hawalioni hili.Mama Samia namkubali sana,Jiwr ametupitisha kwenue maisha ambayo hatuwahi kuhisi kama tutayaonja,alikuwa Mtu KATILI sana,hakuwahi kujali thamani ya binadamu yeyoye,aliongozwa na roho chafu mpaka watu wengi watumishi wakalazimika nao kuwa na roho mbaya sana kufuata chanel yake.
Mtu aliyeona haki ya kuishi ni yake,mkewe na watoto wake au marafiki walamba miguu,hakuwa ni tegemeo la kajli za faraja bali ukatili,sijui ana asili ya Taifa gani la Afrika,Aendelee Kulala Anapostahili.
Yalikuwepo mazuri lakini mengi hayakufuata utaratibu wa kikatiba na sheria.Miaka mitano yote hakukuwa na zuri hata Moja!
Mkuu mwenye mawazo mapana, tupe mfano wa upana wa mawazo yako hapa Afrika.Unaangalia mambo in a very narrow angle ndiyo maana. Ndiyo maana hujui kuwa mfumo unaweza kumzuia kiongozi kutukana. Ha huu mfumo umetuletea viongozi wabovu kama hawa uliwataja. Na huu mfumo ndiyo umefanya baadhi ya wananchi wawe na upeo mfupi kama unavyoonyesha hapa!
Kwanza hujajibu swali: ulifaidika na mfumo wa mwendazake?Mara zote mimi ni muumini wa Afrika yenye amani, inayopiga hatua kimaendeleo na ustawi, na utulivu huku nikiheshimu na kutekeleza taratibu zote tulizokubaliana kuzifuata zikiwamo na sheria! Mimi ni mwafrika wa Tanzania.
Sasa unafananisha failure na failure? Nchi yetu ina resourses nyingi sana na haikutakiwa kuwa hivi. Tatizo la watanzania wengi ni ubinafsi. Kiongozi atakayemwachia mianya ya kufanya biashara zenye makandokando anasifiwa. Wewe kilichokufanya uone Magufuli ni mbaya ni kwa sababu alivuruga kula yako na si vinginevyo. Sisi wengine maisha yetu pengine yalikuwa mazuri zaidi lakini hatukumpenda kwa sababu alikuwa authoritarian and killer!Mkuu mwenye mawazo mapana, tupe mfano wa upana wa mawazo yako hapa Afrika.
Nadharia na utopian thinking kila mtu anaweza.