Well done Simba. Ukikutana na kibonde mwenzako mpe nyingi bila kuremba

Well done Simba. Ukikutana na kibonde mwenzako mpe nyingi bila kuremba

vibonde wapo shirikisho kule huku ni michuano ya champions.mechi ya kwanza Simba Vs Horoya Simba alipigwa na bado akakoswakoswa nyingi na Horoya wakakosa penati.Simba alikua afungwe mbili au tatu kule Guine.
 
Simba bado timu mbovu
Mashabiki wengi wa Tanzania hamjui mpira
Raja atalipa kisasi
 
Simba bado timu mbovu
Mashabiki wengi wa Tanzania hamjui mpira
Raja atalipa kisasi
.
IMG-20230318-WA0014.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hata Yanga alipiga Coffee ya Ethiopia bao 6 mwaka 98 na kutinga hatua ya makundi.

Hii timu sio kipimo kizuri kwa Simba kwa hatua inayofuata.
Hv kweli zinakutosha aisee

Watu wanajadili timu zilizopo kwenye makundi ya klabu bingwa wewe unaleta story za Alfu lelaulela

Huyo Horoya yupo ligi ya mabingwa achana na hao Kahawa waliokuwa wanapambana ndio waingie kwenye ligi ya mabingwa

Jifunze kuelewa mada sio kudandia tu.
 
Hata Yanga alipiga Coffee ya Ethiopia bao 6 mwaka 98 na kutinga hatua ya makundi.
Hii timu sio kipimo kizuri kwa Simba kwa hatua inayofuata.
Nakwambia hivi, kwa vyovyote huijui historia ya vilabu vya Afrika, na haujui trends za Horoya ndio maana unailinganisha na Coffee sijui Zalan. Hii Horoya ilishachukua ubingwa wa Cup Winners Cup, ilishaingia semi na quarter finals mara kibao, ilishaingia magroup ya CAF CL mara kibao, na hadi leo katika ranking ipo juu ya Simba. Sasa kama tunazungumza klabu iliyo juu ya Simba halafu wewe unaleta habarai za Yanga au Coffe, si ni kama unaleta kituko tu?
 
Upande wa pili awawezi kuwa na maumivu kwakuwa wanayo timu ya uhakika na sio kubahatisha bahatisha, na kesho wanakwenda kucheza na Timu inayojielewa sio horoya
Wewe mwenyewe hapo unaandika kwa uchungu 😁😁😁, badala ya kusema hatuwezi kuwa na maumivu, eti unajitoa unasema hawawezi kuwa na maumivu 😁😁😁
 
Nakwambia hivi, kwa vyovyote huijui historia ya vilabu vya Afrika, na haujui trends za Horoya ndio maana unailinganisha na Coffee sijui Zalan. Hii Horoya ilishachukua ubingwa wa Cup Winners Cup, ilishaingia semi na quarter finals mara kibao, ilishaingia magroup ya CAF CL mara kibao, na hadi leo katika ranking ipo juu ya Simba. Sasa kama tunazungumza klabu iliyo juu ya Simba halafu wewe unaleta habarai za Yanga au Coffe, si ni kama unaleta kituko tu?
Mbona unaumia?Kwani si kweli?
 
Back
Top Bottom