Well done Simba. Ukikutana na kibonde mwenzako mpe nyingi bila kuremba

Well done Simba. Ukikutana na kibonde mwenzako mpe nyingi bila kuremba

Nakwambia hivi, kwa vyovyote huijui historia ya vilabu vya Afrika, na haujui trends za Horoya ndio maana unailinganisha na Coffee sijui Zalan. Hii Horoya ilishachukua ubingwa wa Cup Winners Cup, ilishaingia semi na quarter finals mara kibao, ilishaingia magroup ya CAF CL mara kibao, na hadi leo katika ranking ipo juu ya Simba. Sasa kama tunazungumza klabu iliyo juu ya Simba halafu wewe unaleta habarai za Yanga au Coffe, si ni kama unaleta kituko tu?
Huyo coffee kamkomalia mi nikajua ni Olomide kumbe ni timu
 
Horoya kwa namna wanavyocheza ilikuwa halali wapigwe nyingi, kwanza hawakumuheshimu mpinzani ambaye yuko nyumbani kwake, wameingia kwenye mchezo wakafunguka kuanzia dk ya kwanza ya mchezo, na hapo hapo wakashindwa kujielewa kwamba sio wazuri ni timu ya kawaida sana ambayo nafikiri bado wanajitafuta ili kurudi kwenye ule ubora waliokuwa nao misimu miwili iliyopita ambapo waliuza wachezaji wengi sana na kuacha wengi pia.

Sasa unapokutana na timu kama hii basi zitumie nafasi unazopata kiuhakika na ndicho walichofanya simba leo, kujisifu sana pia dhidi ya timu kama hii napo sio sahihi sana, unaweza ukajiona bora kumbe uliyekutana nae pia ni garasa.

Hongereni jiandaeni vizuri dhidi ya wanaokuja kwenu ambao sio tena horoya bali ni timu haswaaa.
Mchawi hana akili.
 
Top 5 za simba CAF champions league na umuhimu wa matokeo yake.
1.vs Hoyoya..7-0
2.vs Nkana..3-1
3 vs platinum ..4-1
4.vs green buffalo. ..9-0
5 vs zamalck win by penalt
 
Back
Top Bottom