Well done Simba. Ukikutana na kibonde mwenzako mpe nyingi bila kuremba

Acha wivu, siyo kombe la loosers Hilo.
Ukiweka hapa kombe la loosers niite Baba yako nimekaa pale [emoji117][emoji87]

Hata hapo Makolokolo mlipofikia ni michongo ya hali ya juu la sivyo kitambo tungekuwa tusharudi mchangani.

Hutaki ambatanisha goli la Vipers la offside hapa niwacheke vizuri Mbumbumbu FC [emoji1787]
 
 
Reactions: FWC
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata sijui niandike nn, nimezidiwa furahaaa.

Kwa kifupii kunywa maji mengi, yakizidi muone daktari
Poleeeee sanaaaa
🤣🤣 Kwakweli anywe maji mengi ili walau apate muda wa kukojoa asisumbuke na ushindi wa simba
 
Utakuta muandishi uliandika ujinga mwingine "jinsi horoya walivyofungwa na Raja Kwa tabu Morocco hao jamaa sio wa mchezo " Hii ni club bingwa ukiingia robo kama ivyo unavuna point 10 mwakani unapangwa na mnyonge na unaendelea kuliakikishia taifa ushiriki WA team 4
 
Hawapati hiyo pesa
Iko hivi.
Wanafungwa na Momastir wanabaki na point zao Saba Momastir anafikisha alama 13..
Mazembe anashinda dhidi ya Bamako na anafikisha alama 6 na morali yake inaongezeka. Mechi ya mwisho Mazembe anampiga Utopolo anafikisha alama 9, Utopolo anabaki na alama zake 7 anaachwa kwenye mataa na safari inaishia hapo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umevurugwaa wee, sasa raja wako hata afunge 20 atabadilisha nn ? Sisi tushatinga robo final.

Hizo zingine sio shida zetu.
watu tunaenda na malengo yeye analeta habar ya visasi!
 
Bora ukachambue Mchele ndiyo utaweza.
 
Leo wanakeketwa live.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Utopolo tumeshawazoea, Simba alipofungwa kule Guinea mlisema Simba hafiki popote kakutana na wababe. Leo hii kashinda wale wababe wamekua vibonde poleni sana
 
Hata Yanga alipiga Coffee ya Ethiopia bao 6 mwaka 98 na kutinga hatua ya makundi.

Hii timu sio kipimo kizuri kwa Simba kwa hatua inayofuata.
Timu ambazo hazijaingia makundi si ndio vilaza kama akina Kipanga, Zalan ambao unakuta wanapigwa nyingi

Ila makundi hakuna kilaza maana zimeshachujwa
 
Sasa unaumia nn sisi tushaingia Robo final
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unatesekaaa ukiwa wapiiiii? Poleeeeeh
 
[emoji1787][emoji1787] Kwakweli anywe maji mengi ili walau apate muda wa kukojoa asisumbuke na ushindi wa simba
Atuacheeee kabisaaa yaan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Simba raha sanaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…