Wema aanika sababu za kummwaga Diamond

Wanapendana vip wakat wema hajiamini kabisa kwa domo yani hapo wema hana ngao kabisaaaaaaa natabir hata warudiane hakunaga ndoa hapo

Hakuna ndoa wala kutolewa barua ya uchumba? Uhusiano gan huo, kajisemea masanja mnakaa kwenye uhusiano kama mnasomea udaktari
 
shoga angu we acha mfa maji haishi kutapataa haki ya mama
ushoga na zari tenaaa
 
NinachomshangaaWema ni kitu kimoja tu, umri wa yeye kuolewa ndio huu hajitambuwi anasubiri ageuke kwasukwasu ndio aje MMU na thread za kipumbavu kulaumu wanaume yeye anadhani mwanaume gani asiyetaka kufaidi utamu wa mke wake wakati bado yuko hot?
 
Hihihiiii nimekunywa supu ya ulimi na chapati nne 😉, apa ni umbea mpaka mchana, nipo zangu om jobless mie kama kawa channel zote zinanikoma, mpaka dstv watajuta maana bundle naitumia ipasavyo

Upo ka roho chapati 4 sikuwezii mwenzio nishapunguza kula nakula kiasi nataka niwe model binam utanikomajeeeee
 
Mi akija mrembo simo kabisaaaa kwanza hata huko nimeandika nimelewa hao,,,usinihusishee kabisaaa naona unata kutuchonganisha na Mrembo aku
 
Last edited by a moderator:
NinachomshangaaWema ni kitu kimoja tu, umri wa yeye kuolewa ndio huu hajitambuwi anasubiri ageuke kwasukwasu ndio aje MMU na thread za kipumbavu kulaumu wanaume yeye anadhani mwanaume gani asiyetaka kufaidi utamu wa mke wake wakati bado yuko hot?

Umeona eeee ataolewa wazee maana ona hilo paja lilivyo na milima sijui kufikia mwaka kesho atakua na hali ganii
 
Watajua wenyewe hayanihusu hata wakiachana kivyao

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ni shidaa arudi tu China tenaaa

hakuna hata haja ya kurudi china.
Angefanya diet tu na mazoezi.
Kuounguza pombe na manyama choma, mbona mwili unakaa poa sana.
Kuliko hata hayo ma-operation yao wanayofanyiwa.
 
NinachomshangaaWema ni kitu kimoja tu, umri wa yeye kuolewa ndio huu hajitambuwi anasubiri ageuke kwasukwasu ndio aje MMU na thread za kipumbavu kulaumu wanaume yeye anadhani mwanaume gani asiyetaka kufaidi utamu wa mke wake wakati bado yuko hot?
Lakini jamani ngoja nimtetee Wema anatamani kuolewa na chibu leo kesho lakini ndomo ndio haeleweki...kajipendekeza kwa wakwe hadi kachoka mtoto wa watu ramadhani yote ile alikua anapika futari akidhani baada ya hapo ni ndoa lakini ndomo kamgeuka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…