Wema aanika sababu za kummwaga Diamond

Wema aanika sababu za kummwaga Diamond

NinachomshangaaWema ni kitu kimoja tu, umri wa yeye kuolewa ndio huu hajitambuwi anasubiri ageuke kwasukwasu ndio aje MMU na thread za kipumbavu kulaumu wanaume yeye anadhani mwanaume gani asiyetaka kufaidi utamu wa mke wake wakati bado yuko hot?

Laana ya mume wake yusuph jumbe inafanya kazi, si aliolewaga akajifanya bado mtoto ndoa hata mwez haujaisha kakimbia mume, atajibeba
 
Hhhhhhhhhhaaaaq hapanaa mi na yangu ya peke yangu nilikua na kilo 87 nimepima sasa nna kilo 84 nataka zifike 76 hhhhhhaaa

Uwiiiiii shoga kumbe wewe ni kibonge hivyo???Mimi sijawahi kuzidi 55 hata nile kama nguruwe...hizo diet nazisikia tu
 
Hhhhhhhhhhaaaaq hapanaa mi na yangu ya peke yangu nilikua na kilo 87 nimepima sasa nna kilo 84 nataka zifike 76 hhhhhhaaa

Looh!! Mi mwenzio nina kilo 65 tu ila napakia kama nini
 
Watajua wenyewe hayanihusu hata wakiachana kivyao

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Binamu na wewe mbea, hayakuhusu wakat umeona heading ya wema na ndomo umekuja mbio mbio, aya kwema lakini uko??
 
hakuna hata haja ya kurudi china.
Angefanya diet tu na mazoezi.
Kuounguza pombe na manyama choma, mbona mwili unakaa poa sana.
Kuliko hata hayo ma-operation yao wanayofanyiwa.

Yani wema akijidai kufanya diet kijingajinga na lile jimwili + michirizi atakua kama bibi maana ile minyama ikipungua itasinyaa kama ulimuona sitti wakati anapunga mkono ndio hivyo...
Yule inabidi apate mtaalamu wa kumcontroll wakati wa diet pia anywe maji sana
 
we mke wa mvuvi weeee
ushauza samaki umennua bando unapiga umbea eeeh

Loh!! Dinazarde kumbe muongo si uliniambia wewe msukuma wako ni pedeshee kama CK anafanyia wizara nyeti, nyie binamu huyu muone kwanza.
 
Last edited by a moderator:
heee mmewe muuza uduvi aisdanganye kutwa umbea jf ukiona kannua bando bas kapata hela ya samaki

Nawe mwal uache umbea upo darasan unapiga umbea tu mfyuuuuu ndio kutufelishia wanetu
 
Loh!! Dinazarde kumbe muongo si uliniambia wewe msukuma wako ni pedeshee kama CK anafanyia wizara nyeti, nyie binamu huyu muone kwanza.

Wizara nyeti ndio hiyo ya kuuza samaki jamaniii we ulidhani wizara ganiii
 
Last edited by a moderator:
Uwiiiiii shoga kumbe wewe ni kibonge hivyo???Mimi sijawahi kuzidi 55 hata nile kama nguruwe...hizo diet nazisikia tu

Shoga sio kihivyo ningekua kafupi ningekua kibonge lakini nataka niwe na 75 hhhhhaaaa
 
Shogaa samaki zimenidodea hapa njoo uniunge basiiii eeeee nipate hela ya bando

akuunge nani weka pilipili kichaa upate wateja huko we unauza samaki bila kuweka pilipili utajijua na leo imekula kwako
 
Nawe mwal uache umbea upo darasan unapiga umbea tu mfyuuuuu ndio kutufelishia wanetu

bwana weeee mshahara wenyewe laki tatu niache kupiga umbea kisa watajua wenyewe wafeli wasifeli na wazazi wao km vp wawapeleke st.francis
 
akuunge nani weka pilipili kichaa upate wateja huko we unauza samaki bila kuweka pilipili utajijua na leo imekula kwako

Ngoja niweke leo pilipili Pakashume wasiponunua naroga haki ya mamaaa
 
bwana weeee mshahara wenyewe laki tatu niache kupiga umbea kisa watajua wenyewe wafeli wasifeli na wazazi wao km vp wawapeleke st.francis

Na kweli ndo maana umepauka na hivi jf kuipata mpaka uwe vumbini umepaukajeee,,afadhal we mshahara mi mpaka niuze samakii niongezee mtaji basiii
 
Back
Top Bottom