Wewe ndio hujanielewa, i mean anatakiwa aachane na Diamond na abadirike waowaji wapo wengi tu, ila kama anataka kuolewa na Superstar nampa pole yake hakunaga ndoa ya Masuperstar.
Mkitaka kutoa mfano wa Jayzee mtakuwa mnajidanganya wenyewe, Wema inatakiwa awe na mahusiano na mtu ambaye si maarufu wala wa media atayafurahia maisha yake.
Hoyce Temu na Faraja Kota wote wameolewa na watu wenye pesa na maisha yanakwenda safi, why not Wema Sepetu? Kujichanganya na waswahili walioishia darasa la saba kwa ajili ya pesa atakuja kujuta maisha yake yote.